Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Raila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie
Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying centre vya Chadema kuvamiwa na vijana kama 100 wataalamu wa IT kuwekwa ndani bado alijizuia na..kukaa kimya pamoja na wananchi..kuwa tayari kupigania ushindi na...kuandamana kupinga Magufuli kuiba...kura .
Ni unafiki kama...yeye Lowassa hajamzuia...kutawala asimshauri huyo rafiki yake amuache Uhuru...atawale.
Kwanza Raila pia alishiriki kuibia watanzania kura mwaka 2015,..akimtuma.msaidizi wake mmoja...kuongoza timu.ya IT ILIYOKUWA.DOUBLE TREE HOTEL..na kumeletea rafiki..yake pesa za kampeni
Bora wakenya mmemuadhibu Raila . mnhetawaliwa kwa visasi kama..huko Tanzania
Pia raila ni..project ya muda...mrefu...ya kutawala afrika mashariki ya Kagame na Museveni...tayari wamekamata Congo kupitia Kabila.
TANZANIA tumeshatekwa..kupitia..huyu..ndugu yao mwaka 2015 na walitaka kutumia Raila kuteka Kenya
THE BAHIMA EMPIRE SYNDICATE
Chadema haikuibiwa kura na CCM na wala haitatokea. CCM ilishinda mchana kweupe. Acheni siasa zenu za kitoto na huyo mamvi wenu. Angalia idadi ya wabunge wa CCM na CHADEMA ndiyo urudi ufikirie. Hata hizo kura mlizopqta CHADEMA mliiba sema waliwashtukia katikati. Hakuna mtu anaweza penda Lowa wenu na kumpa NCHI. Mnapoteza muda may be mtafute mwingine na si yeye.Raila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie
Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying centre vya Chadema kuvamiwa na vijana kama 100 wataalamu wa IT kuwekwa ndani bado alijizuia na..kukaa kimya pamoja na wananchi..kuwa tayari kupigania ushindi na...kuandamana kupinga Magufuli kuiba...kura .
Ni unafiki kama...yeye Lowassa hajamzuia...kutawala asimshauri huyo rafiki yake amuache Uhuru...atawale.
Kwanza Raila pia alishiriki kuibia watanzania kura mwaka 2015,..akimtuma.msaidizi wake mmoja...kuongoza timu.ya IT ILIYOKUWA.DOUBLE TREE HOTEL..na kumeletea rafiki..yake pesa za kampeni
Bora wakenya mmemuadhibu Raila . mnhetawaliwa kwa visasi kama..huko Tanzania
Pia raila ni..project ya muda...mrefu...ya kutawala afrika mashariki ya Kagame na Museveni...tayari wamekamata Congo kupitia Kabila.
TANZANIA tumeshatekwa..kupitia..huyu..ndugu yao mwaka 2015 na walitaka kutumia Raila kuteka Kenya
THE BAHIMA EMPIRE SYNDICATE
Tukulize ulikuwamo alipo mzuia au ni mawazovyako mgando kama babycare ndio yamekutuma uposti hu ujingaRaila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie
Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying centre vya Chadema kuvamiwa na vijana kama 100 wataalamu wa IT kuwekwa ndani bado alijizuia na..kukaa kimya pamoja na wananchi..kuwa tayari kupigania ushindi na...kuandamana kupinga Magufuli kuiba...kura .
Ni unafiki kama...yeye Lowassa hajamzuia...kutawala asimshauri huyo rafiki yake amuache Uhuru...atawale.
Kwanza Raila pia alishiriki kuibia watanzania kura mwaka 2015,..akimtuma.msaidizi wake mmoja...kuongoza timu.ya IT ILIYOKUWA.DOUBLE TREE HOTEL..na kumeletea rafiki..yake pesa za kampeni
Bora wakenya mmemuadhibu Raila . mnhetawaliwa kwa visasi kama..huko Tanzania
Pia raila ni..project ya muda...mrefu...ya kutawala afrika mashariki ya Kagame na Museveni...tayari wamekamata Congo kupitia Kabila.
TANZANIA tumeshatekwa..kupitia..huyu..ndugu yao mwaka 2015 na walitaka kutumia Raila kuteka Kenya
THE BAHIMA EMPIRE SYNDICATE
Mim nashangaa hawa vijana wa chadema kisa kiongozi wao wamemsaport uhuru sasa wanafikiri magu anaupumbavu wa kuingilia ya watu mzee wawatu kakaa kimya tangu harakati za uchaguzi ziaze nyie ufipa mwashwa juu yake kazi imoo kwenuuUkisha mjua huyu mtu ni nani. Nakitu gani alichosema kwenye kikao na NASA baada ya Uhuru kutangazwa mshindi basi huna sababu yakumuusisha Magufuli kwenye hili jambo.Keep quite and watch the game.View attachment 565138
Ushauri huu ungeanza kumpatia maalimRaila anaonekana hataki kukubali matokeo., ni.wakati sasa Rais Magufuli ambaye ni rafiki yake binafsi ajitenge na kusema hamuungi mkono tusikie
Sisi watanzania hatutaki vurugu zitokee Kenya , Aige mfano wa.Edward lowassa ambaye pamoja na ushahidi wa kuibiwa kura kuwepo na vituo vya Tallying centre vya Chadema kuvamiwa na vijana kama 100 wataalamu wa IT kuwekwa ndani bado alijizuia na..kukaa kimya pamoja na wananchi..kuwa tayari kupigania ushindi na...kuandamana kupinga Magufuli kuiba...kura .
Ni unafiki kama...yeye Lowassa hajamzuia...kutawala asimshauri huyo rafiki yake amuache Uhuru...atawale.
Kwanza Raila pia alishiriki kuibia watanzania kura mwaka 2015,..akimtuma.msaidizi wake mmoja...kuongoza timu.ya IT ILIYOKUWA.DOUBLE TREE HOTEL..na kumeletea rafiki..yake pesa za kampeni
Bora wakenya mmemuadhibu Raila . mnhetawaliwa kwa visasi kama..huko Tanzania
Pia raila ni..project ya muda...mrefu...ya kutawala afrika mashariki ya Kagame na Museveni...tayari wamekamata Congo kupitia Kabila.
TANZANIA tumeshatekwa..kupitia..huyu..ndugu yao mwaka 2015 na walitaka kutumia Raila kuteka Kenya
THE BAHIMA EMPIRE SYNDICATE
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9] [emoji9]Ukisha mjua huyu mtu ni nani. Nakitu gani alichosema kwenye kikao na NASA baada ya Uhuru kutangazwa mshindi basi huna sababu yakumuusisha Magufuli kwenye hili jambo.Keep quite and watch the game.View attachment 565138