Rais Magufuli, usihudhurie mkutano kuhusu Raslimali madini unaofanyika German mwezi ujao

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Nmesoma article moja inayosema kutakua na kongamano la kuhusu Raslimali madini ya bara afrika utakao fanyika German.
Nionavyo Mimi mkutano huu ulitakiwa ufanyike Africa yalipo madini yatakayozungumziwa kama heading inavyojieleza.
Hawa mabeberu wana mbinu nyingi Sana.
Umegusa maslahi yao na gafla linaitishwa kongamano, na Shaka kidogo na kongamano hili.

Nashauri usihudhurie tuma mwakilishi
 
Back
Top Bottom