Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

Duuu mtu nimesoma hadi napata kizungu zungu
 
Hasa hasa issue ya sukari jamani tunateseka sana
 
Iq yako ni mithili ya kobe!!badala ya kuhoji content unafikiria cv ili ikusaidie nn?vyeti vya kitaaluma mnafoji kila kukicha
Ulitegemea aseme nini wakati yaliyosemwa ni mwiba kwao?
 
Tuliahidiwa kushuka kwa vifaa vya ujenzi kinyume chake sasa ndo bei juu kwa kuongeza kodi. Hii sasa ndo hapa kazi siyo?
Hapa kazi tu ina maana pana sana hata huko kukubana kwa kodi ni kazi tu
 
[emoji2][emoji2][emoji2] iko sawa nimeipenda sema vijana watavamia huu uzi na stress za UDC
 
Mada nzuri, tatizo naamini wengi watakuja na kusoma kichwa cha habari na kutoa maoni. Tuna taifa la watu wasiopenda kusoma, hasa makala ndefu kama hii.
Ki ukweli ni ndefu sana na ni kuthibitisha kuwa huyu kweli ni mwana habari
 
Nasikia wamebaki Lizabon na Wakudadavua wanasubiri udc
Hata hivyo na Lizaboni tayari keshaingia kwenye mgomo baridi maana magu haeleweki huyo wa kudadavua yupo hapo kwa ajili anatoka wilaya moja na waziri mkuu
 
Mkuu lumumba sasa hivi wako hoi maana posho hakuna kabisa wengi wao wamesusa
Wapo wafia chama kina Lizaboni, FaizaFox, MOTOCHINI, Barborsa etc wale wamejitoa ufahamu mpaka wanatia huruma. Kila la huko wao ni kusifu na kuabudu. U-DC si mchezo
 

Ulienda shule kukua.
 
Wapo wafia chama kina Lizaboni, FaizaFox, MOTOCHINI, Barborsa etc wale wamejitoa ufahamu mpaka wanatia huruma. Kila la huko wao ni kusifu na kuabudu. U-DC si mchezo
Fayza Fox kesha hamia msoga, hao walio baki wanashindia kipande cha muhogo wa kuchoma
 
mimi naweka kiporo nitaisoma na kuitafakari kwa makini baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…