Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

Bahati nzuri bado ambao mmeendelea kuzipa nafasi akili zenu kufanya kazi npo, bila shaka mtamsaidia na kumtia moyo, walio wengi akili zao wameweka rehani, wanabaki wakiwatumikia mabwana zao. Mwanahabari huru kwa ck analeta thread zisifopungua 4 bila shaka hii ndo njia inayompatia kipato! Akili yake amekubali kushikiwa
 
Na wanaamini kabisa kama nao ni sehemu ya watu wanaotakiwa kusikilizwa, ushabiki wao haukuwahi kuleta tija ndani ya vyama vyao na bado wameshindwa kuvua uanaharakati wao wa zama za mawe za kale
 
Tuliahidiwa kushuka kwa vifaa vya ujenzi kinyume chake sasa ndo bei juu kwa kuongeza kodi. Hii sasa ndo hapa kazi siyo?
Na bado tutaisoma namba ss hivi kila mtu analalamika kuanzia juu hadi msukuma mkokoteni
 
Ukawa walitoka nje ya bunge kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni kwamba ni sheria mbaya sana na kandamizi kwa wananchi, ! Leo ni miezi 9 tokea sheria ianze kufanya kazi ,sasa nyinyi nyumbu tuwaulize mpaka sasa sheria ya mtandaoni imeshamkandamiza nani??

Siasa za kupotosha watu kiasi hiki hazitawafikisha popote nyinyi UKIWA.
 
Usijitoe ufahamu wewe mwendokasi vijana wa chadema Kule Arusha? Yericko na wengine wengi walioitwa kujieleza kweli namini sasa yule aliyesema sheria hizi nikwajili ya wapinzani tu
 
Usijitoe ufahamu wewe mwendokasi vijana wa chadema Kule Arusha? Yericko na wengine wengi walioitwa kujieleza kweli namini sasa yule aliyesema sheria hizi nikwajili ya wapinzani tu
Yule kijana Wa Arusha aliyetukana rais naye unamtetea??
 
Teh Teh habari nzima imejaa fikra za vijiweni oooh wanasema ooooh wanasema ooh wanasema..
Hii taka taka peleka kwa Mbowe na Lowasa Rais hana muda wa kusoma huu upuuzi!

Wakati wa mikutano si sasa subirini kipindi cha uchaguzi 2020!
 
Kweli imewashika magamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…