Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Hakika nchi yetu imechezewa vya kutosha.uporaji wa misitu,madini,wanyama pori na raslimali nyingi kadha wa kadha.Pia kua kituo kikuu cha kusafirishia na kuuza madawa ya kulevya.Hivyo heshima ya Tanzania kimataifa kushuka kiwango.
Hili halina ubishi kwa mtanzania yeyote anaejitambua.
Matukio haya yaliendana na ushiriki wa baadhi ya watumishi wa serikali wasio waaminifu na ambao kwa sasa baadhi yao wana ukwasi mkubwa wa mali na chanzo cha umiliki wake ni kitendawili.
Jambo hili halikwenda peke yake ,bali kwa kushirkiana na baadhi wafanyabiadhara wakubwa hapa nchini wasio waaminifu.
Serikali ni makini na ina data full kupitia kitengo cha usalama juu ya yote yaliyokua yakifanyika.lilikua ni suala la muda tu kupata viongozi wenye uthubutu ku deal na huu upuuzi.
Serikali ya awamu ya tano imeonyesha uthubutu wa kupinga dhulma hizi kwa dhati kabisa.Cha ajabu wanaharakati na wanasiasa waliokua mstari wa mbele kupinga maovu haya kwa sasa ndo vinara kupinga juhudi hizi za serikali ya awamu ya tano.
ki ukweli inatia kichefuchefu sana.
Rais Magufuli is a humanbeing na human being is not perfect. Nillitegemea tusaidie katika kuonyesha njia sahihi na bora za kukomesha uovu huu ,si kila juhudi anazochukua ni kukejeliwa nakubezwa.
Nampongeza Rais Magufuli,Makamu Mama Samia,Waziri mkuu Kasim Majaliwa na serikali nzima kwa kua imara dhidi ya waovu hawa ambao wana mbinu za kila aina,wakitumia baadhi ya vyombo vya habari,mitandao ya kijamii na baadhi ya asasi mbalimbali za kijamii kuwadhoofisha.
Mwisho,
Tuunge mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano kwa nguvu zetu zote,kwani jumuiya za kimataifa kwa ujumla wameridhishwa na performance ya serikali hii ,ndo Maana jana Rais alikutana Makamu wa Rais ADB na mwekezaji mkubwa kabisa toka India.
Ni kishiria tosha cha uwajibikaji.
Tuachane na wapiga kelele ambao kila kukicha hukana matamko yao.