Naomba mtukufu uitazame hii clip kwa makini ujibu maswali yafuatayo:-
- Dakika 1:30 uliuliza "hivi kweli sisi tunashindwa kutengeneza furnace yenye uwezo wa ku-generate heat kiasi cha 1500 degrees Celsius"
- Swali kwako: Je hilo linawezekana sasa kwako?
- Je, ungependa upewe miaka mingapi ulitimize?
- Je, kuzuia kupeleka mchanga Japan ndio suluhisho?
- una plan nyingine yeyote endapo tutaachiwa mgodi kuuendesha wenyewe au nasi tutapeleka wenyewe mchanga Japan kwa ajili ya kuuprocess?
- Dakika 1:46 ulisema hivi..."ila acha tu, tuibiwe hivyo hivyo..."
- Je, ni kweli unaushahidi kuwa tulikuwa tukiibiwa?
- Je, ulimshauri mkuu wako kwenye baraza la mawaziri?
- Ni kweli ulikuwa ukiridhika tunapoibiwa bila ya kupaza sauti, ulikuwa unangoja hadi uwe raisi ndio uweze kuzuia uovu?
- je, na sisi tusubirie hadi tutakapokuwa maraisi ndio tuanze kukemea uovu?
- Dakika 1:50 ulipewa ushauri huu..."chukua fomu basi!"....
- si ulisema kuwa hukushauriwa kuchukua fomu ya kugombea?
- Dakika 2:00 ulisema hivi..." Mimi watu watalimia meno!"..
- Je, tulikuwa wakosefu kiasi hiki au unatuhukumu kutimiza ahadi yako?