Hivi wewe mwalimu,, unawajua watu wa MUNGU wewe au unaropoka tu?Mwalimu wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.
Nchi haina walimu kabisa"Mtu wa Mungu" how?
Acheni kujitoa Ufahamu..
BTW Pole kwa kupoteza muda wako kuandika haya.
Kivip?Nchi haina walimu kabisa
Siwezi kuwemo nina vyei vyote na majina ni yaleyale.Kumbe wewe mwenzetu una mshahara? piga kazi omba kwenye punguzo la watumishi usiwemo.
Sio walimu tu hata watumishi wengine ambao sio wakurugenzi maDC,RC mawaziri na watu wa category hizo.Yaani huyu muheshimiwa cjui walimu kawakosea nn yani inakatisha tamaa hasa.
Tuendelee kueleza,ipo siku atasikia.ukisikilizwa then nisitue namimi namalalamiko yangu
Anajiita hivyoHivi wewe mwalimu,, unawajua watu wa MUNGU wewe au unaropoka tu?
Yeye anaamini ni wa mungu zaid,amekamilika kuliko mimi,ndio maana sikumpangia,sikumshauri,nimemuomba.Hivi kuna mtu ambae sio wa Mungu?
Asante baba"Mtu wa Mungu" how?
Acheni kujitoa Ufahamu..
BTW Pole kwa kupoteza muda wako kuandika haya.
Pole na majukumu,Mimi ni mwalimu,nilipandishwa daraja mwaka 2008 nikawa mwalimu mwandamizi cheo chenye ngazi ya mshahara TGTS E1,kati ya mwaka 2009_2012 nilijiendeleza kitaaluma nikatunukiwa shahada ya ualimu BAED,niliwasilisha vyeti nikapandishwa daraja kuwa afisaelimu daraja la kwanza (sasa mwalimu daraja la 11c)ngazi ya mshahara TGTS E. sikutendewa haki na mfumo.
Mwaka 2016 nimepandishwa daraja na kuwa mwalimu daraja la kwanza 1 C ngazi ya mshahara TGTS F,hata hivyo sijarekebishiwa mshahara mpaka sasa,naumia sana,nimekata tamaa na kazi.Nilopandishwa nao walirekebishiwa.
Mh, Rais naomba uamuru mamlaka husika nirekebishiwe mshahara.
Naomba mfumo wa kupandisha madaraja kwa watumishi wa muda mrefu wanaojiendeleza kitaaluma uangaliwe upya kwani unakatisha tamaa.
Niko tayari kuweka mawasiliano yangu hapa ili kama hutajali nikupatie ufafanuzi.
Natanguliza shukrani.
Mwalimu wilaya ya Bunda mkoa wa Mara.

Ha ha ha haaaaa,, mkuu wewe kachochezi!!! Eti anajiita mwenyewe?Anajiita hivyo