Rais Magufuli piga kazi

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
5,007
4,080
Habar za muda huu wadau,
Kwanza nianze kutoa pole kwa wale waliodhani nchi hii inaongozwa kwa mihemko na ushabiki wa mitandaoni,mlitaka kila mnachoandika rais azingatie poleni sana kwa kuzipotezeni mb zenu pamoja na muda
Pia,niwape rai wanachi wapenda maendeleo kuzidi kuunga jitihada za rais wetu kipenzi huku nikiwaonya wapinzani watafute namna ya kupata kiki maana mnapoelekea mtamkodi mpaka harmorapa.......
Tanzania leo hii aipendwi bali mtu anapendwa kuliko taifa....... maskini tanzania yangu......

Ni hayo tu zinagatieni muda wenu

Na gilbert massawe
 
Kutokana na Mental disorder na inferiority complex hawezi fanya hivyo,yeye akiona tu hata hii comment povu linamtoka!
 
Nyumbu walikuwa wananchekesha walivyo kuwa wanadai Cheti cha makonda yaani kelele week Nzima Cheti Cheti Sasa hivi wenyewe wametulia hio singo haipo tena. Rais magufuli ni JEMBE . Muulizeni wajumbe wenu wawili sumaye na lowasa MUONE kama hawamkubali
 
Anayetafuta kiki ni huyo unayemwambia apige kazi!

Anang'ang'ana kukaa front page ya gazeti kwa stori yake ya kutengeneza bandarini......
Ndio maana alichukia walivyompotezea wakamuweka nape.....
Na bado asiwe anaingia humu atapata presha bure
 
Nyumbu walikuwa wananchekesha walivyo kuwa wanadai Cheti cha makonda yaani kelele week Nzima Cheti Cheti Sasa hivi wenyewe wametulia hio singo haipo tena. Rais magufuli ni JEMBE . Muulizeni wajumbe wenu wawili sumaye na lowasa MUONE kama hawamkubali

Watupe vyeti vya viongozi wao....,
 
Back
Top Bottom