Bajeti ya uhuru its more than 30 bn.
Hata wewe? Basi nimeamini Magufuli ni noma.
Nasubiri tamko la Ben Saanane
Asilimia kati ya 75-80mya pato la Taifa inatoka Dar. Tukiimarisha Dar na kupunguza foleni tutaongeza ufanisi wa kazi na kukusanya kodi nyingi zaidi ambayo itatumika kujengea barabara zingine nchini. Ningependa kama ingewezekana bajeti nzima ya mwaka ya barabara iwekweze Dar baadae kungine si kwakuwa naishi Dar ila kwa sababu za Kiuchumi.
Basiii basiiiii basiiiiiiiiiiiiiiii, inatoshaaaaaaaaa, we will get HEART ATTACK...!!!
Mungu baba, hivi uko wapi, mbona umetuacha wenyewe baba, pekee yetu, tumekukosea nini..? Kwani Tz imekukosea nn..!? 😭😭😭
Hiyo hela ingetumika kufanya miundombinu mipya ya maji hapa Dar
Ni hatua nzuri sana lakini mbona pesa zote zinaelekezwa mkoa wa Dar?
Ina maana sie wa Bukoba hatupaswi kuneemeshwa na hizi pesa za zuio la Magufuli!
Ina maana Dar wao peke yao ndio wanalipa kodi?
Magufuli acha ubaguzi, hizo pesa zilenge kusaidia watanzania wote nchini na sio kwa wakazi wa Dar peke yao.
Mbona kijijini kwako Chato uliweka taa za kuongozea magari wakati hakukuwa na umuhimu kivile maana magari huko ni moja moja.
Nieleweshe mimi kupanuliwa kwa barabara hii itaongezaje ufanisi? Itaongeza kodi kwa asilimia ngapi?
Haya mambo ya vipaumbele tumeshayapigia kelele sana humu.
Nani alikuwepo humu kipindi cha sherehe za miaka 50 ya uhuru?
Nani anakumbuka kiasi cha fedha kilichotumika kwenye shamrashamra za sherehe hiyo?
Nani hata anakumbuka sisi wengine kuhoji kwa nini watumie mahela yote hayo ilhali watoto hawana madawati na madaraja yanavunjika?
Sidhani hata mpo mnaokumbuka maana wengi wetu tuna kumbukumbu za muda mfupi sana.
Huko kwenu pia mlikuwa mnaandaa gwaride la Uhuru? Ni nijuavyo, sherehe za Uhuru huwa/zilikuwa ni Dar tu.Ni hatua nzuri sana lakini mbona pesa zote zinaelekezwa mkoa wa Dar?
Ina maana sie wa Bukoba hatupaswi kuneemeshwa na hizi pesa za zuio la Magufuli!
Ina maana Dar wao peke yao ndio wanalipa kodi?
Magufuli acha ubaguzi, hizo pesa zilenge kusaidia watanzania wote nchini na sio kwa wakazi wa Dar peke yao.
Mbona kijijini kwako Chato uliweka taa za kuongozea magari wakati hakukuwa na umuhimu kivile maana magari huko ni moja moja.
NN big salute...!!!
You & I, ni team UKAWA... & still we are...!!
Ila kwa haya Mh. Rais Magufuli ameanza kufanya KWELI tumuunge mkono... MAGUFULI kweli ameanza kuonyesha ni RAIS... na anaweza kwenda KINYUME NA MFUMO WA CCM...!!! Sisi wananchi TUNATAKA MAENDELEO... na kudhibiti lavish lifestyle ya viongozi, wizi, uozo serikalini na maendeleo ya haraka... na Magufuli anaonyesha hayo...!!!
Najua ww ukiwa mmoja wapo, ulipigia kelele sana ufujaji wa FEDHA kwa njia nyingi sana... ebu tumpe muda huyu Magufuli, let's try our last chance...!!! Naona anaenda vizuri sana...!!!
Tz lost billions ktk mambo ya kishenzi shenzi tu serikalini for years...!!
Haya mambo ya vipaumbele tumeshayapigia kelele sana humu.
Nani alikuwepo humu kipindi cha sherehe za miaka 50 ya uhuru?
Nani anakumbuka kiasi cha fedha kilichotumika kwenye shamrashamra za sherehe hiyo?
Nani hata anakumbuka sisi wengine kuhoji kwa nini watumie mahela yote hayo ilhali watoto hawana madawati na madaraja yanavunjika?
Sidhani hata mpo mnaokumbuka maana wengi wetu tuna kumbukumbu za muda mfupi sana.
Weee uchaguzi wa wabunge uwepo
Taratibu ndugu...mimi sina timu.
Ni mtu huru. Sipo timu CCM wala timu UKAWA.
Mimi ni Timu Ngabu.
Na sina tatizo kabisa na kupangilia vipaumbele kwa kuzingatia umuhimu wake.
Nachotaka kukumbusha tu ni kwamba haya mambo ya vipaumbele wengine tumeanza kuyapigia kelele hata kabla JF hajazaliwa.
Bajeti ya uhuru its more than 30 bn.
Safiiiiiiiiu... ina maana hizo fedha za UHURU DAY, is roughly around tshs. 10 billion nadhani... aiseeeeeeeeee
Kweli Magufuli, unatia moyo..!!