Rais Magufuli: Nitahamia Dodoma mwaka huu, 2018

Dikteta ana Phd ya uongo. Akisema mambo 10 usishike hata moja.

 
Ameshahama na ameshahamia?
 
Kama atakuwa kwa bahati mbaya labda amesahau au amepitiwa kutokana na kuwa na mafile mengi ya kuattend. Namkumbusha Mtukufu Rais Magufuli kwamba mwaka 2018 ulishapita na huu ni mwaka 2019 ambao nao January inaelekea ukingoni. Namsihi ahamie Dodoma ili kutimiza ahadi yake.

Kuhamia Dodoma ni kazi rahisi sana kuliko ile ya mil 50 kila kijiji. Asiwape wapinzani wake sababu ya kusema kwa hili.

Karibu Dodoma Mtukufu Rais JPM.
 
Mh. Rais wetu unashindwa nn kutimiza hii ahadi yako? Mbona ni kazi rahisi sana kuhamia Dodoma? Tunaomba uhamie huko Dodoma ili wapinzani wako wakose cha kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…