Rais Magufuli, nisikilize kidogo...

MWAKISALU

Senior Member
Nov 1, 2013
100
46
Awali ya yote nakupongeza kwa kazi nzuri na ngumu sana unayoifanya kwa taifa letu. Ni dhahili kwamba unafanya kazi ngumu sana na iliyojawa na uzalendo kwa taifa lako. Ktk maisha yangu sijawahi kumuona Rais Tanzania aliyeweza kujitolea maisha yake kutetea taifa lake na watu wake kama wewe with reservation to our beloved, the late father of this nation His Excellence Mwl KJ Nyerere.

Mhe Rais Tanzania na watanzania tunakutegemea sana zaidi ya uonavyo. Wewe ndiye mkombozi pekee uliyebakia kuikomboa Tanzania na kizazi kijacho. Ni ukweli usiofichika kuwa kazi yako nzuri sana kwa watanzania wako unaowapenda imekujengea maadui wachache waliokuwa ni waroho wa madaraka. Watanzania tunakupenda sana. Vita hiyo umeshinda, Mungu na watanzania tupo nyuma yako. Roho wa hila mbaya na pepo ameshindwa ktk jina la yesu kristo.

Nani alijua kt yetu kwamba zaidi ya watu elfu kumi watanzania wenzetu wanalipwa mishahara hewa? Je ni mtu gani mwenye utu mbali ma kuwa binadamu wa kawaida akaona kazi unayoifanya ni mbaya?( kama yupo atapaswa apimwe akiri yake ilivyo) Nimesema mtu mwenye utu maana huyu anaufaham tofauti na binadamu ambaye anaweza Kuwa mtu yeyote hata kama ni kichaa lakini asiwe na sifa ya kuwa na utu nafsini mwake.

Mhe Rais leo nimestushwa niliposoma utenguzi wako kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ndugu Kitwanga. Hata hivyo nimekupongeza sana kwa uamuzi wako kwa dhana kwamba jamii inapooneka kumnyoshea kidole mtu juu ya utendaji kazi wake inapaswa mtu huyo angaliwe kwa macho mengi na
ya karibu sana ktk uhalali wake na nafasi yake ktk kutumikia umma.

Mwaka 1995 kama kumbukumbu yangu imekaa sawasawa Mwl Nyerere aliwahi kusema kiongozi wetu anatakiwa asiwe na tuhuma zozote kutoka kwa jamii huku akinukuu nukuu za kaizari juu ya mkewe mtaraka. Nakushukuru kwa hilo.

NANI ANAFAA KUKUSAIDIA KTK NAFASI YA UWAZIRI WA MAMBO YA NDANI?

Ingetokea ikatokea miujiza ya mimi na wewe kuonana ana kwa ana ningeweza kusema fulani atakufaa sana, siyo kwa ushabiki wa aina yoyote, lakini kwa ushabiki wa kuipenda nchi yangu na watanzania wenzangu. Na hasa nikifikiria maisha ya mabinti wangu wawili na mustakabali wa hapo baadaye na kwamba maisha yao yanajengwa leo kwa maana ya kuwa na viongozi imara.

Mhe Rais sina namna yoyote ya kukuona, na napenda sana japo niseme neno nawe juu ya nani angefaa kwa nafasi hiyo. Kwa muntarafu huu, ndugu yangu na kipenzi wangu Mhe Rais naomba dukuduku hizi niziseme hapa hapa leo.

Mhe Rais Pasipo kufumba macho wala kupepesa kopi za macho yangu hata kama ningekuwa ktk usingizi wa pono ungenisikia nakwambia mpe DR JOHN CHARLES TIZEBA.

KWANINI DR JOHN CHARLES TIZEBA.

John Charles Tizeba ni mtu makini sana mbali na usomi wake. Ni mtu mpenda watu na hasa wanyonge wa taifa hili. Ni mtu anayefahamu matatizo ya watanzania. Amekaa na watu masikini sana, amewatumikia watu masikini sana na alipenda kuishi na watu masikini sana kama ulivyo wewe mhe Rais.

Nikinukuu kauli yako ya kwamba nilizaliwa tz, nimekulia tz, nimesoma tz, na nitafia na kuzikwa tz. Inamaana kwamba wewe ni mzalemdo namba moja. Wengi kwa nafasi yako wanafikiria hata kwenda ugaibuni kusaka uraia huko na kwenda kuficha mali zao huko walizochuma wakiwa tanzania kwa kutumia nafasi zao walizokuwa nazo.

Mhe Rais sijajua mahusiano yako na Dr John Charles Tizeba. Lakini kwa dhati ya moyo wangu unaongozwa kwa imani na hekima za mama yangu marehemu Bestauni Kisalu, nakuomba sana, usimpoteze Dr John Charles Tizeba. Ni mtu mzuri na makini sana, ninamfahamu vizuri si kwa kwambiwa, bali kwa kumjua akiwa anatekeleza majukumu yake kikazi.

We have good leaders within our finger tips, let us utilize and use their talents gifted by God. Dr John Charles Tizeba is one of these good leaders with positive vision and mission. Dr John Charles Tizeba is a person who is not led by events or emotional. He is led by his ability to understand things in positive vision & mission.

Najua una uwanja mkubwa sana wa kusema nani awe nani, na wakati gani. Makala hii isije ikatafsiriwa kwa namna yoyote ile kwamba pengine nina mahusiano ya karibu na Dr John Charles Tizeba rahasha. Sina mawasiliano naye kwa muda mrefu sana takribani miaka zaidi ya mitano sasa.

Pia makala hii haina maana kusema kwamba pengine Dr John Charles Tizeba ndiyo mtu makini na muhimu zaidi ya wabunge wengine wote mjengoni mle ama hata nje ya bunge, simaanishi hivyo. Imani yangu imejengwa na dhana kwamba siambiwi kuhusu utendaji kazi wa Dr John Charles Tizeba, namfahamu namna anavyomudu kazi zake. Hata ukiwa na mke, mkeo ndo mke nzuri zaidi ya wanawake wote kwa kuwa tu unamjua alivyo. Uzuri wa ua siyo mwonekano wake bali mi roho iliyonayo ua hilo kama kweli ua lina roho. Roho ni ya muhimu kuliko muonekano wa kitu ama mtu yeyote. Sifa zangu zinamuendea Dr John Charles Tizeba kwa kuwa namfahamu binafsi siabiwi na mtu. Mhe Rais huu ni ushauri tu kwako kama kiongozi wetu mkuu wa nchi.

Ni kama vile nilipowahi kukuomba kwamba utulejeshee aliyekuwa Kamishna General wa Idara ya Uhamiaji ndg Sylivester Ambokile ambaye alisimamishwa kupisha uchunguzi. Ni kwa sababu nilijua utendaji wake kuwa ni mzuri sana.

Ktk makala yangu ile juu ya Ambokile kuna wengine walisema mi ni mkabila, namtetea Ambokile kwa kuwa ni kabila langu, rahasha. Mhe Rais hubanwi na kanuni zozote kwamba eti umuache mtu mzuri kwa kuwa tu ni kabila lako. Lipi jema kuchukua jitu jizi ukamuacha mtu bora na makini kwa kuogopa tu eti watasema mi mkabila. Songa mbele mzee, wenye akili watakuelewa na wasio na akili watauliza kwa wenye akili.

Mhe Rais hili lingine naona aibu kulisema kwako kwa kuwa wewe ni mhimiri mwingine, yaani kuhusu kurusha matangazo ya moja kwa moja pale mjengoni. Hivi Mhe Rais huwezi ukajaribu hata kupendekeza kwa wabunge wale ili wananchi waone wawakilishi wao wanasema nini wakiwa mjengoni, kama vile ambavyo tulikuwa tukikuona wewe live enzi hizo, maana nakumbuka ikifika tu kuwa leo wizara ya ujenzi inasoma budget yake kila mtanzania alikuwa anatafuta wapi pana luninga akuone unavyotetea hoja zako, na hilo lilikupa umaarufu sana maana ulijua kutetea nini ulichokisema.

Halafu hata wewe kiutendaji itakusaidiaa sana. Ni wazi kuwa baadhi ya watendaji wako wanaweza kukuficha jambo usilijue, lakini pale ndani pana wapinzani, wao hawafichi kitu wanapasua tu. Kwa kasi yako Mhe Rais ni bora tu Bunge likawa live itakusaidia sana kujua hata yale uliyofichwa.

Wakati mwingine tunakuwa na washauri wabovu ili kukuharibia tu utendaji kazi wako mzuri. Umeanza vizuri. System yako ya kuwataja mafisadi hadharani ni nzuri sana tunaomba hata bunge liwe live. Hata Mwl Nyerere angekuwepo leo angesema bunge liwe live maana alikuwa ni mpenda maendeleo na taifa lake yule mzee kama ulivyo wewe Rais wangu.

Mhe Rais naomba nikutakie kazi njema na nakuomba usirudi nyuma kaza mbio una speed nzuri sana. Mafisadi wamepagawa hawajui la kufanya. Nasi tutaendelea kuwaibua kila kukicha.

Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania, Amen

By Lutengano Nkanda Mwakisalu
(+255784636261)
 
Mhe Rais hili lingine naona aibu kulisema kwako kwa kuwa wewe ni mhimiri mwingine, yaani kuhusu kurusha matangazo ya moja kwa moja pale mjengoni.

kwa hili hawezi kukusikiliza. Maana mawaziri na wabunge wengi wa CCM huwa wanatoa hoja wakiwa wamelewa, hawezi kuwaangusha.
 
Tizeba anapenda wanyonge? Tizeba huyu aliyekacha Nyumba yake mwenyewe aliyoishi kabla ya kuwa Naibu waziri na kuhamia hotelini alikohudumiwa kwa gharama kubwa?

Haha kazi mnayo mwaka huu!!
 
TZB, TZB, Kuna dalili kuu za huko TZB na leo MAGU anatumia T001AAA. TZB ni number ya chombo Chenye TZ character, characterised by B tendency.
 
JPM anasema kuota usiku ni bora kuliko mchana, ukiota mchana ujue unaelekea kuwa chizi.

Kwa hiyo nakupongeza kwa kuota usiku, ispokuwa ndoto niliyonayo usiku huu mimi ni kuwa Kuna mteule(mb) yuaja, nae ni msomi kitaaluma. Huyo ndiye atapewa mikoba

tutege masikio
 
Nchi hii ina watu waadirifu na wachapa kazi haswa, mfano ni Dr Kagasheki, huyu anaweza kwa kuwa alifanya kazi kubwa pale Maliasili ila mafisadi wakamchukia
Awali ya yote nakupongeza kwa kazi nzuri na ngumu sana unayoifanya kwa taifa letu. Ni dhahili kwamba unafanya kazi ngumu sana na iliyojawa na uzalendo kwa taifa lako. Ktk maisha yangu sijawahi kumuona Rais Tanzania aliyeweza kujitolea maisha yake kutetea taifa lake na watu wake kama wewe with reservation to our beloved, the late father of this nation His Excellence Mwl KJ Nyerere.

Mhe Rais Tanzania na watanzania tunakutegemea sana zaidi ya uonavyo. Wewe ndiye mkombozi pekee uliyebakia kuikomboa Tanzania na kizazi kijacho. Ni ukweli usiofichika kuwa kazi yako nzuri sana kwa watanzania wako unaowapenda imekujengea maadui wachache waliokuwa ni waroho wa madaraka. Watanzania tunakupenda sana. Vita hiyo umeshinda, Mungu na watanzania tupo nyuma yako. Roho wa hila mbaya na pepo ameshindwa ktk jina la yesu kristo.

Nani alijua kt yetu kwamba zaidi ya watu elfu kumi watanzania wenzetu wanalipwa mishahara hewa? Je ni mtu gani mwenye utu mbali ma kuwa binadamu wa kawaida akaona kazi unayoifanya ni mbaya?( kama yupo atapaswa apimwe akiri yake ilivyo) Nimesema mtu mwenye utu maana huyu anaufaham tofauti na binadamu ambaye anaweza Kuwa mtu yeyote hata kama ni kichaa lakini asiwe na sifa ya kuwa na utu nafsini mwake.

Mhe Rais leo nimestushwa niliposoma utenguzi wako kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ndugu Kitwanga. Hata hivyo nimekupongeza sana kwa uamuzi wako kwa dhana kwamba jamii inapooneka kumnyoshea kidole mtu juu ya utendaji kazi wake inapaswa mtu huyo angaliwe kwa macho mengi na ya karibu sana ktk uhalali wake na nafasi yake ktk kutumikia umma.

Mwaka 1995 kama kumbukumbu yangu imekaa sawasawa Mwl Nyerere aliwahi kusema kiongozi wetu anatakiwa asiwe na tuhuma zozote kutoka kwa jamii huku akinukuu nukuu za kaizari juu ya mkewe mtaraka. Nakushukuru kwa hilo.

NANI ANAFAA KUKUSAIDIA KTK NAFASI YA UWAZIRI WA MAMBO YA NDANI?

Ingetokea ikatokea miujiza ya mimi na wewe kuonana ana kwa ana ningeweza kusema fulani atakufaa sana, siyo kwa ushabiki wa aina yoyote, lakini kwa ushabiki wa kuipenda nchi yangu na watanzania wenzangu. Na hasa nikifikiria maisha ya mabinti wangu wawili na mustakabali wa hapo baadaye na kwamba maisha yao yanajengwa leo kwa maana ya kuwa na viongozi imara.

Mhe Rais sina namna yoyote ya kukuona, na napenda sana japo niseme neno nawe juu ya nani angefaa kwa nafasi hiyo. Kwa muntarafu huu, ndugu yangu na kipenzi wangu Mhe Rais naomba dukuduku hizi niziseme hapa hapa leo.

Mhe Rais Pasipo kufumba macho wala kupepesa kopi za macho yangu hata kama ningekuwa ktk usingizi wa pono ungenisikia nakwambia mpe DR JOHN CHARLES TIZEBA.

KWANINI DR JOHN CHARLES TIZEBA.

John Charles Tizeba ni mtu makini sana mbali na usomi wake. Ni mtu mpenda watu na hasa wanyonge wa taifa hili. Ni mtu anayefahamu matatizo ya watanzania. Amekaa na watu masikini sana, amewatumikia watu masikini sana na alipenda kuishi na watu masikini sana kama ulivyo wewe mhe Rais.

Nikinukuu kauli yako ya kwamba nilizaliwa tz, nimekulia tz, nimesoma tz, na nitafia na kuzikwa tz. Inamaana kwamba wewe ni mzalemdo namba moja. Wengi kwa nafasi yako wanafikiria hata kwenda ugaibuni kusaka uraia huko na kwenda kuficha mali zao huko walizochuma wakiwa tanzania kwa kutumia nafasi zao walizokuwa nazo.

Mhe Rais sijajua mahusiano yako na Dr John Charles Tizeba. Lakini kwa dhati ya moyo wangu unaongozwa kwa imani na hekima za mama yangu marehemu Bestauni Kisalu, nakuomba sana, usimpoteze Dr John Charles Tizeba. Ni mtu mzuri na makini sana, ninamfahamu vizuri si kwa kwambiwa, bali kwa kumjua akiwa anatekeleza majukumu yake kikazi.

We have good leaders within our finger tips, let us utilize and use their talents gifted by God. Dr John Charles Tizeba is one of these good leaders with positive vision and mission. Dr John Charles Tizeba is a person who is not led by events or emotional. He is led by his ability to understand things in positive vision & mission.

Najua una uwanja mkubwa sana wa kusema nani awe nani, na wakati gani. Makala hii isije ikatafsiriwa kwa namna yoyote ile kwamba pengine nina mahusiano ya karibu na Dr John Charles Tizeba rahasha. Sina mawasiliano naye kwa muda mrefu sana takribani miaka zaidi ya mitano sasa.

Pia makala hii haina maana kusema kwamba pengine Dr John Charles Tizeba ndiyo mtu makini na muhimu zaidi ya wabunge wengine wote mjengoni mle ama hata nje ya bunge, simaanishi hivyo. Imani yangu imejengwa na dhana kwamba siambiwi kuhusu utendaji kazi wa Dr John Charles Tizeba, namfahamu namna anavyomudu kazi zake. Hata ukiwa na mke, mkeo ndo mke nzuri zaidi ya wanawake wote kwa kuwa tu unamjua alivyo. Uzuri wa ua siyo mwonekano wake bali mi roho iliyonayo ua hilo kama kweli ua lina roho. Roho ni ya muhimu kuliko muonekano wa kitu ama mtu yeyote. Sifa zangu zinamuendea Dr John Charles Tizeba kwa kuwa namfahamu binafsi siabiwi na mtu. Mhe Rais huu ni ushauri tu kwako kama kiongozi wetu mkuu wa nchi.

Ni kama vile nilipowahi kukuomba kwamba utulejeshee aliyekuwa Kamishna General wa Idara ya Uhamiaji ndg Sylivester Ambokile ambaye alisimamishwa kupisha uchunguzi. Ni kwa sababu nilijua utendaji wake kuwa ni mzuri sana.

Ktk makala yangu ile juu ya Ambokile kuna wengine walisema mi ni mkabila, namtetea Ambokile kwa kuwa ni kabila langu, rahasha. Mhe Rais hubanwi na kanuni zozote kwamba eti umuache mtu mzuri kwa kuwa tu ni kabila lako. Lipi jema kuchukua jitu jizi ukamuacha mtu bora na makini kwa kuogopa tu eti watasema mi mkabila. Songa mbele mzee, wenye akili watakuelewa na wasio na akili watauliza kwa wenye akili.

Mhe Rais hili lingine naona aibu kulisema kwako kwa kuwa wewe ni mhimiri mwingine, yaani kuhusu kurusha matangazo ya moja kwa moja pale mjengoni. Hivi Mhe Rais huwezi ukajaribu hata kupendekeza kwa wabunge wale ili wananchi waone wawakilishi wao wanasema nini wakiwa mjengoni, kama vile ambavyo tulikuwa tukikuona wewe live enzi hizo, maana nakumbuka ikifika tu kuwa leo wizara ya ujenzi inasoma budget yake kila mtanzania alikuwa anatafuta wapi pana luninga akuone unavyotetea hoja zako, na hilo lilikupa umaarufu sana maana ulijua kutetea nini ulichokisema.

Halafu hata wewe kiutendaji itakusaidiaa sana. Ni wazi kuwa baadhi ya watendaji wako wanaweza kukuficha jambo usilijue, lakini pale ndani pana wapinzani, wao hawafichi kitu wanapasua tu. Kwa kasi yako Mhe Rais ni bora tu Bunge likawa live itakusaidia sana kujua hata yale uliyofichwa.

Wakati mwingine tunakuwa na washauri wabovu ili kukuharibia tu utendaji kazi wako mzuri. Umeanza vizuri. System yako ya kuwataja mafisadi hadharani ni nzuri sana tunaomba hata bunge liwe live. Hata Mwl Nyerere angekuwepo leo angesema bunge liwe live maana alikuwa ni mpenda maendeleo na taifa lake yule mzee kama ulivyo wewe Rais wangu.

Mhe Rais naomba nikutakie kazi njema na nakuomba usirudi nyuma kaza mbio una speed nzuri sana. Mafisadi wamepagawa hawajui la kufanya. Nasi tutaendelea kuwaibua kila kukicha.

Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania, Amen

By Lutengano Nkanda Mwakisalu
(+255784636261)
 
Sijui huu ndio usomi wa watanzania au vipi? Yaani mtu unatumia muda kumshauri Rais amteue huyo jamaa yako awe Waziri lakini unashindwa kubainisha historia fupi ya kiutendaji ya huyo mtu wako ili hata Rais aweke rekodi zake sawa na kumfikiria huyo mtu wako.....kweli Tz we are still having long way to go.....!

Kwa kukusaidia ungesema Mh. Rais nampendekeza huyu Mr. X, kwa sababu ya rekodi yake iliyotukuka kiutendaji kama ifuatavyo:-

Then you start:
1.
2.
3.
etc,

Hivyo nakushauri kwa mtazamo wangu (wewe na sio mimi au wa-tz wengine) kama utaona anafaa, mpe nafasi. Naamini atakuwa msaada mkubwa kwako. Jifunze kujenga hoja sio unapwayuka tu na maneno mengi kama kasuku...

Kama umekereka...isiwe sheeeeeeeedah, tafuta limao au ndimu.....ccm hakuna masafi wote ni nyumbu tu lakini wapo nyumbu wachache wana unafuuu.
 
Mwakisalu sikuelewi...wewe haujawasiliana Mh. Tizeba yapata miaka mitano sasa, halafu unampendekeza hatufanyiekazi watanzania katika nafasi nyeti, kweli? (swali langu halilengi kupunguza uwezekano wa Mh. Tizeba kupewa nafasi hiyo bali linalenga kumkosoa Mwakisalu njia anayoitumia kutuaminisha kile anachokiamini kinafaa kwa watanzania )
 
Wizara itaongozwa na naibu Waziri atapandishwa cheo na kuwa Waziri kamili Huyo Tizeba bakini naye huko huko ingawa January Makamba yupo Kwa Masangoma wake kakesha akiombea apewe hiyo Wizara akomeshe wabaya wake.
 
Sijui huu ndio usomi wa watanzania au vipi? Yaani mtu unatumia muda kumshauri Rais amteue huyo jamaa yako awe Waziri lakini unashindwa kubainisha historia fupi ya kiutendaji ya huyo mtu wako ili hata Rais aweke rekodi zake sawa na kumfikiria huyo mtu wako.....kweli Tz we are still having long way to go.....!

Kwa kukusaidia ungesema Mh. Rais nampendekeza huyu Mr. X, kwa sababu ya rekodi yake iliyotukuka kiutendaji kama ifuatavyo:-

Then you start:
1.
2.
3.
etc,

Hivyo nakushauri kwa mtazamo wangu (wewe na sio mimi au wa-tz wengine) kama utaona anafaa, mpe nafasi. Naamini atakuwa msaada mkubwa kwako. Jifunze kujenga hoja sio unapwayuka tu na maneno mengi kama kasuku...

Kama umekereka...isiwe sheeeeeeeedah, tafuta limao au ndimu.....ccm hakuna masafi wote ni nyumbu tu lakini wapo nyumbu wachache wana unafuuu.
January Makamba yupo kambini na Utitiri wake wa waganga wa kienyeji anaombea apewe hiyo Wizara aitumie kidikteta kuwakomoa watu .
 
Kufa kuafaana. Naona watu wameshaanza kulobby watu wao. Tunataka mtu hatakayewezeza kutumbua LUGUMI, mtandao wa mauza madawa na majambazi. Namuona Rais atamweka mwanajeshi kuongoza hii wizara sasa.
 
Back
Top Bottom