Rais Magufuli ni tumaini kubwa la watanzania

subiray

Member
Sep 21, 2015
92
26
MPAKA SASA RAIS MAGUFULI AMEKUWA MFANO KILA KONA NCHI YETU IWE KIJIWENI IWE KANISANI IWE MSIKITINI IWE KAZINI PAMOJA NA HATA KWENYE DALADALA KWANI WATANZANIA TULIOWENGI TUMELIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WAKE NA TUNAIMANI ATAENDELEA HIVYO
PIA NCHI ZA JIRANI MH RAIS MAGUFULI AMEKUWA GUMZO NA JINA LAKE LIMEKUWA MFANO KILA KONA

HAKIKA KWELI KURA ZETU TULIYEMPIGIA HATUJUTII KABISA PIGA KAZI RAIS WETU
 
akiweza kumuwajibisha PR muhongo na (Mwakiembe typ err)sawa na kurudisha nyumba za serikali alizo honga.

swissme
 
Sawa tutoe ushirikiano zaidi kwake bila kubagua vyama ili kuleta tija zaidi tufurahi wote kwani nje ya vyama wote tunataka maendeleo na ndio anayoleta Mh Rais na ndio vision nzuri mungu amlinde na wote tumlinde
 
akiweza kumuwajibisha PR muhongo na (Mwakiembe typ err)sawa na kurudisha nyumba za serikali alizo honga.

swissme

Usiingilie mamlaka ya Rais na lete evidence kuhusu aya yako ya mwisho hapo otherwise acha kufuata mkumbo
 
Bado mapema sana, hata Jakaya tulimuona ni mkombozi. Mpaka ilifikia mahali Jakaya watu walisema ni chaguo la Mungu, lakini mwisho wa siku naye ni sehemu ya majipu yanayo hitaji kutumbuliwa.
 
MPAKA SASA RAIS MAGUFULI AMEKUWA MFANO KILA KONA NCHI YETU IWE KIJIWENI IWE KANISANI IWE MSIKITINI IWE KAZINI PAMOJA NA HATA KWENYE DALADALA KWANI WATANZANIA TULIOWENGI TUMELIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WAKE NA TUNAIMANI ATAENDELEA HIVYO
PIA NCHI ZA JIRANI MH RAIS MAGUFULI AMEKUWA GUMZO NA JINA LAKE LIMEKUWA MFANO KILA KONA

HAKIKA KWELI KURA ZETU TULIYEMPIGIA HATUJUTII KABISA PIGA KAZI RAIS WETU
Kweli kabisa mtoa mada.
Magufuli ni tumaini jipya !
 
Back
Top Bottom