Rais Magufuli, nchi zilizoendelea zilianza na Mapinduzi ya Kilimo sio Viwanda

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
KWA MHESHIMIWA RAISI

Mheshimiwa Rais pole kwa kazi, lakini naomba nichukue wakati wangu kuandika au kukueleza hiki ambacho sina uhakika kama kitakufikia au hakitakufikia. Lakini kwa imani na mapenzi ya taifa langu nitaandika pasipo kujali kama ujumbe huu utafika au haufiki ila naamini wapo watanzania watakaosoma.

Mheshimiwa umeingia madarakani ukiwa na vision ya mapinduzi ya viwanda, sawa ni nzuri sana ila tuangalie njia ya kupita. Vision ambayo nilikuwa natafuta ama nina ndoto ya kumsikia raisi atokee na kuisimamia.

Lakini katika kutimiza ndoto hii kuna namna ambayo naona tunaweza kuchemka nikirudi mbali na kupekua document mbalimbali, tunaona wazi kuwa nchi zote duniani ambazo zilifanya mapinduzi ya viwanda zilianza na kilimo.Bila kufanya mapinduzi ya kilimo Baba itakuwa ni ndoto ya mchana.

Angalia China, Marekani, Uingereza, Ubelgiji na kwingineko, walianza na mapinduzi ya kilimo. Nikitazama katika taifa la Tanzania kwanza naona ardhi ipo ya kutosha ila hakuna jitihada za dhati. Kwani tungeweza kwenda mbali kuliko ambavyo tumejaribu.

Kwanza ili viwanda viwepo ni lazima malighafi iwepo ya kutosha kisha kupata malighafi ya kutosha kwasababu viwanda vingi hutegemea mali ghafi basi sekta ya viwanda ingeweza kufanikiwa na endapo mali ghafi inatoka nchini basi hata uwezekano wa kuuza bdhaa zinazotokana na viwanda kwa bei rahisi ni rahisi mno,kwani malighafi hazifuuatwi kwa gharama kubwa.

Mheshimiwa raisi sababu nyingine ya kuweza kufanikiwa kiviwanda kupitia kilimo ni kwamba Uingereza, China na Marekani walipata faida kubwa kupitia kilimo baada ya kupata mazao mengi hivyo kuuza na kupelekea kupata mtaji ulioweza kuwafanya waanzishe viwanda na kuongeza uwekezaji katika kilimo. Mheshimiwa Magufuli hapa nchini tuna maeneo mengi makubwa lakini wananchi wanashindwa kuyatumia wakitegemea mvua na maeneo mengine mvua ni za kuungaunga.

Mheshimiwa raisi ukitaka kufanya nchi iendelee kiviwanda ni lazima tuhakikishe kwanza tunalima mwaka mzima na kilimo kinaleta tija ili kupata malighafi na kukuza uchumi ikiwemo hali za wananchi kwani wengi hutegemea kilimo.

Eneo la mikoa ya kati kama Dodoma, Singida na ya mikoa ya magharibi watu wanatakiwa kupata maji mwaka mzima kwani hawana mvua za kutosha lakini eneo hili lina rutuba ya kutosha. Mikoa mingine iliyobaki yapo maeneo yanayopata mvua za wasiwasi kama Tanga na mikoa mingine michache. Ukija mikoa ya nyanda za juu kusini hawa wamebarikiwa kupata mvua na siku mvua ikigoma mikoa hii nchi nzima itakumbwa na njaa. Mikoa kama Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa na hata Morogoro inalima mazao kwa wingi ila hutegemea mvua.

Lakini kama kutakuwa na mpango wa kupeleka maji taka kwa ajili ya kilimo vijijini basi nina uhakika maeneo mengi wananchi wangekuwa wanalima mwaka mzima na wangekuwa kiuchumi kwani maeneo haya watu hawalimi kama inavyotakiwa.

Ukitaka taifa watu wapige kazi basi waboreshee miundombinu. Kama hakuna mapinduzi ya kilimo,mapinduzi ya viwanda ni ndoto. Mataifa mengi yaliyoendelea kiviwanda yalianza kuboresha kilimo. Ukiweka miundombinu katika kilimo watu watapata soko hadi nje ya nchi na mwishowe watapata pesa za kuanzisha kuongeza uchumi kwa taifa.
Yako mengi ila leo naishia hapa.

NISAIDIE KUSHARE
 
Hashim Rungwe SiPunda Juzi ktk 45dk ITV aliongea point sana km JPM atakua alimsikiliza basi atakua amejifunza kitu....Kipaumbele cha Tanzania kwasasa sio Ndege wala Treni za umeme WaTZ wananjaa, 33% tu ndo wenye access ya umeme unawezaje kuanza na ndege uku 67% haina Umeme na Maji safi na salama? Hashim alisema WaTZ hatujawahi kukosa ndege ya kwenda nchi nyingine...Tupambane kwanza kwenye Huduma za msingi hasa Maji na UMeme....Ethiopia inashirika kubwa LA ndege Africa tena linazidi ata ya Ulaya lakini matatizo ya waEthiopia hayajawahi kutatuliwa na Ethiopia Airlines kila siku wanakufa kwa njaa,ajira hakuna na baadhi hua wanafia TZ wakielekea nchi za nje kutafuta ajira achilia mamia wanaofia Mediterranean sea daily....So kipaumbele kwasasa ni Kilimo ndo aliongea Hashim Rungwe....Pesa zilizotumika kununua Mandege zingeelekezwa kwenye mapinduzi ya kilimo cha kisasa tungekua mbali sana na tungetengeneza ajira nyingi sana....Viwanda tengeneza mazingira mazuri hasa Umeme wa kutosha inatupaswa kua tunaongelea +10,000 MW na sio 1500MW za sasa....
 
KWA MHESHIMIWA RAISI

Mheshimiwa Rais pole kwa kazi, lakini naomba nichukue wakati wangu kuandika au kukueleza hiki ambacho sina uhakika kama kitakufikia au hakitakufikia. Lakini kwa imani na mapenzi ya taifa langu nitaandika pasipo kujali kama ujumbe huu utafika au haufiki ila naamini wapo watanzania watakaosoma.

Mheshimiwa umeingia madarakani ukiwa na vision ya mapinduzi ya viwanda, sawa ni nzuri sana ila tuangalie njia ya kupita. Vision ambayo nilikuwa natafuta ama nina ndoto ya kumsikia raisi atokee na kuisimamia.

Lakini katika kutimiza ndoto hii kuna namna ambayo naona tunaweza kuchemka nikirudi mbali na kupekua document mbalimbali, tunaona wazi kuwa nchi zote duniani ambazo zilifanya mapinduzi ya viwanda zilianza na kilimo.Bila kufanya mapinduzi ya kilimo Baba itakuwa ni ndoto ya mchana.

Angalia China, Marekani, Uingereza, Ubelgiji na kwingineko, walianza na mapinduzi ya kilimo. Nikitazama katika taifa la Tanzania kwanza naona ardhi ipo ya kutosha ila hakuna jitihada za dhati. Kwani tungeweza kwenda mbali kuliko ambavyo tumejaribu.

Kwanza ili viwanda viwepo ni lazima malighafi iwepo ya kutosha kisha kupata malighafi ya kutosha kwasababu viwanda vingi hutegemea mali ghafi basi sekta ya viwanda ingeweza kufanikiwa na endapo mali ghafi inatoka nchini basi hata uwezekano wa kuuza bdhaa zinazotokana na viwanda kwa bei rahisi ni rahisi mno,kwani malighafi hazifuuatwi kwa gharama kubwa.

Mheshimiwa raisi sababu nyingine ya kuweza kufanikiwa kiviwanda kupitia kilimo ni kwamba Uingereza, China na Marekani walipata faida kubwa kupitia kilimo baada ya kupata mazao mengi hivyo kuuza na kupelekea kupata mtaji ulioweza kuwafanya waanzishe viwanda na kuongeza uwekezaji katika kilimo. Mheshimiwa Magufuli hapa nchini tuna maeneo mengi makubwa lakini wananchi wanashindwa kuyatumia wakitegemea mvua na maeneo mengine mvua ni za kuungaunga.

Mheshimiwa raisi ukitaka kufanya nchi iendelee kiviwanda ni lazima tuhakikishe kwanza tunalima mwaka mzima na kilimo kinaleta tija ili kupata malighafi na kukuza uchumi ikiwemo hali za wananchi kwani wengi hutegemea kilimo.

Eneo la mikoa ya kati kama Dodoma, Singida na ya mikoa ya magharibi watu wanatakiwa kupata maji mwaka mzima kwani hawana mvua za kutosha lakini eneo hili lina rutuba ya kutosha. Mikoa mingine iliyobaki yapo maeneo yanayopata mvua za wasiwasi kama Tanga na mikoa mingine michache. Ukija mikoa ya nyanda za juu kusini hawa wamebarikiwa kupata mvua na siku mvua ikigoma mikoa hii nchi nzima itakumbwa na njaa. Mikoa kama Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa na hata Morogoro inalima mazao kwa wingi ila hutegemea mvua.

Lakini kama kutakuwa na mpango wa kupeleka maji taka kwa ajili ya kilimo vijijini basi nina uhakika maeneo mengi wananchi wangekuwa wanalima mwaka mzima na wangekuwa kiuchumi kwani maeneo haya watu hawalimi kama inavyotakiwa.

Ukitaka taifa watu wapige kazi basi waboreshee miundombinu. Kama hakuna mapinduzi ya kilimo,mapinduzi ya viwanda ni ndoto. Mataifa mengi yaliyoendelea kiviwanda yalianza kuboresha kilimo. Ukiweka miundombinu katika kilimo watu watapata soko hadi nje ya nchi na mwishowe watapata pesa za kuanzisha kuongeza uchumi kwa taifa.
Yako mengi ila leo naishia hapa.

NISAIDIE KUSHARE
ni mwenda wazimu tu ndio anayetengemea chamaana kutoka CCM
 
Mikoa ya kanda ya ziwa kwa asili ni wakulima lakini wanategemea mvua wakati kuna ziwa na mito mkubwa isiyo na tija katika kilimo. Kwanini haya maeneo serikali inayaacha hivi wakati kijiografia ni fursa (potential) za wazi?
 
Bado sijaona specifically unataka Rais Afanye nini ili kuleta hayo unayoyaita mapinduzi ya Kilimo.

Kama ni mkopo kwa wasomi pale SUA wanapata lakini wengi wanaishia Dar kwenye uanaharakati badala ya kwenda mashambani na kulima kwa kisasa.

Serikali inatoa ruzuku za mbolea na pembejeo za Kilumo.

Serikali inafanya utambuzi wa mifugo ili kuipa thamani lakini baadhi ya wanasiasa wanahamasisha wananchi na kupinga zoezi hilo.

Kuna maeneo kuna rutuba ya kutosha ...watu wanatumia ruzuku ya mbolea kulimia bangi.

Mleta mada njoo na jambo specific unaloamini litaleta tija kwenye mapinduzi ya kilimo...
 
KWA MHESHIMIWA RAISI

Mheshimiwa Rais pole kwa kazi, lakini naomba nichukue wakati wangu kuandika au kukueleza hiki ambacho sina uhakika kama kitakufikia au hakitakufikia. Lakini kwa imani na mapenzi ya taifa langu nitaandika pasipo kujali kama ujumbe huu utafika au haufiki ila naamini wapo watanzania watakaosoma.

Mheshimiwa umeingia madarakani ukiwa na vision ya mapinduzi ya viwanda, sawa ni nzuri sana ila tuangalie njia ya kupita. Vision ambayo nilikuwa natafuta ama nina ndoto ya kumsikia raisi atokee na kuisimamia.

Lakini katika kutimiza ndoto hii kuna namna ambayo naona tunaweza kuchemka nikirudi mbali na kupekua document mbalimbali, tunaona wazi kuwa nchi zote duniani ambazo zilifanya mapinduzi ya viwanda zilianza na kilimo.Bila kufanya mapinduzi ya kilimo Baba itakuwa ni ndoto ya mchana.

Angalia China, Marekani, Uingereza, Ubelgiji na kwingineko, walianza na mapinduzi ya kilimo. Nikitazama katika taifa la Tanzania kwanza naona ardhi ipo ya kutosha ila hakuna jitihada za dhati. Kwani tungeweza kwenda mbali kuliko ambavyo tumejaribu.

Kwanza ili viwanda viwepo ni lazima malighafi iwepo ya kutosha kisha kupata malighafi ya kutosha kwasababu viwanda vingi hutegemea mali ghafi basi sekta ya viwanda ingeweza kufanikiwa na endapo mali ghafi inatoka nchini basi hata uwezekano wa kuuza bdhaa zinazotokana na viwanda kwa bei rahisi ni rahisi mno,kwani malighafi hazifuuatwi kwa gharama kubwa.

Mheshimiwa raisi sababu nyingine ya kuweza kufanikiwa kiviwanda kupitia kilimo ni kwamba Uingereza, China na Marekani walipata faida kubwa kupitia kilimo baada ya kupata mazao mengi hivyo kuuza na kupelekea kupata mtaji ulioweza kuwafanya waanzishe viwanda na kuongeza uwekezaji katika kilimo. Mheshimiwa Magufuli hapa nchini tuna maeneo mengi makubwa lakini wananchi wanashindwa kuyatumia wakitegemea mvua na maeneo mengine mvua ni za kuungaunga.

Mheshimiwa raisi ukitaka kufanya nchi iendelee kiviwanda ni lazima tuhakikishe kwanza tunalima mwaka mzima na kilimo kinaleta tija ili kupata malighafi na kukuza uchumi ikiwemo hali za wananchi kwani wengi hutegemea kilimo.

Eneo la mikoa ya kati kama Dodoma, Singida na ya mikoa ya magharibi watu wanatakiwa kupata maji mwaka mzima kwani hawana mvua za kutosha lakini eneo hili lina rutuba ya kutosha. Mikoa mingine iliyobaki yapo maeneo yanayopata mvua za wasiwasi kama Tanga na mikoa mingine michache. Ukija mikoa ya nyanda za juu kusini hawa wamebarikiwa kupata mvua na siku mvua ikigoma mikoa hii nchi nzima itakumbwa na njaa. Mikoa kama Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa na hata Morogoro inalima mazao kwa wingi ila hutegemea mvua.

Lakini kama kutakuwa na mpango wa kupeleka maji taka kwa ajili ya kilimo vijijini basi nina uhakika maeneo mengi wananchi wangekuwa wanalima mwaka mzima na wangekuwa kiuchumi kwani maeneo haya watu hawalimi kama inavyotakiwa.

Ukitaka taifa watu wapige kazi basi waboreshee miundombinu. Kama hakuna mapinduzi ya kilimo,mapinduzi ya viwanda ni ndoto. Mataifa mengi yaliyoendelea kiviwanda yalianza kuboresha kilimo. Ukiweka miundombinu katika kilimo watu watapata soko hadi nje ya nchi na mwishowe watapata pesa za kuanzisha kuongeza uchumi kwa taifa.
Yako mengi ila leo naishia hapa.

NISAIDIE KUSHARE

Mimi huwa najiuliza, kwani ni lazima uanze na kilimo ndio vije viwanda.? Hiyo ni kanuni ya kibiblia au Qur'an.? Kwani tukianza na kununua ndege tukajenga reli yetu Standard Gauge, haturuhusiwi kurudi kwenye kilimo.?

Kwani Tanzania imeandikiwa ni lazima iendelee mwaka huu.? hizo siku zote tumekuwa na kilimo chetu hiki cha kawaida ni mwaka gani watanzania labda millioni 1 au 2 walikufa njaa moja.?

Mi nashauri, tumwacheni JPM aendeshe gari anavyojua, maadam keshaonyesha ni dereva mzuri, tutulie. mambo ya kukaa unampangia pangia mawazo yako hayana maana. vinginevyo ungekuwa rais wewe basi..!! kama ulikuwa na mawazo mazuri, mbona hukugombea urais tukakupigia wewe kura..??

JPM ni JPM, na anafuata ILANI ya CCM abaayo ndio wananchi waliiridhia, nyinyi ni nyinyi hamna mbele wala nyuma. vinginevyo mnapoteza muda wenu bure.

Acha tujenge reli kwanza, kilimo pia tunakiangalia japo wewe kwa upofu wako wa kujifanya huwezi ona, na sio lazima wewe ndio uyashuhudie mapinduzi ya kilimo unayoyafikiria, atayashuhudia hata mjukuu wako.

Wewe kwa sasa shuhudia mapinduzi ya reli Tanzania, na mshukuru Mungu kwa kukujalia uhai na kuyashuhudia japo dak za mwanzo, kina Mwl Nyerere, Kawawa, Karume, Sitta, Masaburi n.k hawakubahatika kuona matukio makubwa kama haya ya ki nchi.

Uwe na roho ya kuridhika na kuheshimu maamuzi ya wenzio hasa kwa sababu ndio wenye MAMLAKA YA KUAMUA.
 
Back
Top Bottom