Rais Magufuli kutembelea China

Hivi zile ahadi za mfalme wa Morocco kwa Tanzania alipokuwa katika ziara yake nchini zimefikia wapi?
 
Economic sovereignty concerns zilizopo Zambia na Kenya kwamba China inaenda kuchukua bandari na Uwanja wa Ndege eti gazeti zinaiita ni "propaganda"

Wanaandika kama Uhuru na Mzalendo miaka ya Nyerere

Wanatufanya Watanzania ni wajingaaaaaaa!
 
Tumeongelea uchumi sio mfumo wao wa siasa na utawala, China ndio uchumi mkubwa wa pili duniani kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchumi mkubwa wa vitu hilo ni kweli, ubora wa maisha ya watu wake ni ardhi na mbingu ukifananisha na Ulaya au US. Kwa maneno marahisi Ulaya na US Wana standard ya juu sana kulinganisha na China. Angalia hata ubora wa bidhaa zinazotoka Magharibi mfano ujerumani, US kisha fananisha na za China kisha uje utoe mrejesho hapa
 
Umeishi nchi ngapi?, Sio kwa kuangalia TV na mitandao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
Ujinga mtupu, unawaza Ujamaa enzi hizi? Pumbavu kabisa!
 
China ni wanyonyaji tu hakuna lolote China inanufaika zaidi na uwekezaji wake katika nchi zinazoendelea contracts zote za ujenzi anachukuwa mchina kwa sababu anahonga viongozi na makontractor wazalendo wanakosa kazi na pesa asilimia kubwa inakwenda China badala ya kubakia nchini na kuingia katika mzunguko na bidhaa feki kutoks China ndio usiseme na bei karibu bure sasa hivyo viwanda mtavyojenga vitaweza kushindana na bidhaa feki kutoka China.
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
usoshalisti ni kama dini ambayo wafuasi wake huishia maneno tu vitendo ni zero. china wenyewe sio wajamaa in reality!
 
Every Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
Labda useme watanzania walio wengi Ila si kila mtanzania. Binafsi siungi mkono pure socialism Ila Tz ni nchi ya demokrasia hivyo kama sehemu kubwa ya Tz watahitaji hilo lazima liheshimiwe.
 
Umeishi nchi ngapi?, Sio kwa kuangalia TV na mitandao?

Sent using Jamii Forums mobile app

China sijaenda, ila US, Scotland, Denmark na Sweden huko nimekaa kwa ujumla wa 6yrs. China nimeijua kupitia exposure niliyonayo ya watu mbalimbali. Hivi kujua jambo la mahali fulani ni mpaka uishi hapo? Africa kusaini ilitawaliwa na makaburu, Mandela alikaa jela miaka 27 na akawa rais wa nchi hiyo, na ndio nchi yenye uchumi mkubwa kuliko zote Afrika, je ni lazima kuishi huko Afrika kusini ili kujua hayo? Huenda umeishiwa na hoja.
 
Nakushauri kuitembelea China pia kupanua exposure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri kuitembelea China pia kupanua exposure

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina suala la kunipeleka China, huko nilikokwenda sikwenda kwa minajili ya kuja kubishana hapa jf. Niko kwenye sekta ya utalii, naangalia watalii toka China napima spending yao na watalii toka ulaya. Ni mbingu na ardhi hasa watalii toka US ni balaa.
 
Sio kila asietumia pesa ana uchumi dhaifu, Bill Gate hatumii pesa hovyo, wakinga wana pesa na hawatumii sana kama wahaya na wachaga, hiyo ni Consumer behaviour influenced by culture. Tunashare maarifa tu sio ubishi. Mimi kitaaluma ni marketer na nimehead Philips Africa and Asia for years from Eindhoven in Netherlands

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa

Kwahiyo Taifa la china ambalo ni Tajiri kwa maana ya uchumi wake viongozi especially Rais anaongea kiingereza anapokuwa kwenye international stage? Acheni kuwa na mtazamo uliopitwa na wakati! English is just a linguistic language like other languages
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 janja yake tumeigundua, Watanzania si wapumbavu. Injinia soma hiyoooooooooo!

Ameona aende maeneo yasiyo na ung'eng'e ili kuficha Uwezo wa ung'eng'e ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nakojoaaaa
 
na tiketi ya ndenge BOING 737 MAX 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…