Rais Magufuli: Kuna wazee wanaogopa kustaafu, kazi yao ni kubadili miaka

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,950
Mh Rais John Pombe Magufuli amekea vitendo vya watumishi wanaokaribia kustaafu badala yake wameng'ang'ana ofisini tu, ukikaribia muda wao wa kustaafu kazi yao ni kubadili miaka kupisha ajira sasa hao dawa yao ipo.

TBC
 
Back
Top Bottom