Rais Magufuli jifunze ustarabu wa Rais wa Zanzibar Shein, hotuba za Shein zimetulia

Ukweli shein hotuba zake ni nzuri zimepangiliwa kwa umakini hana maneno ya kejeli kwa wananchi wake anaongea kwa kufata taratibu za uongozi hakika rais wetu mtukufu magufuli chukua mfano kwa mwenzako .
Zinaboa, alafu kama utazifuatilia kwa umakini kila mwaka zinafanana asilimia kubwa.
 
Naomba kuuliza hotuba ya raid inapitia hatua zipi Ana mikononi kwa watu gani
 
Pomb@ anawaza kulala mbele na wapinzani muda wa kuandaa speech autoe wapi. .?
 
Ukweli shein hotuba zake ni nzuri zimepangiliwa kwa umakini hana maneno ya kejeli kwa wananchi wake anaongea kwa kufata taratibu za uongozi hakika rais wetu mtukufu magufuli chukua mfano kwa mwenzako .
Umeshawahi kusikia au kuona wapi Boss anajifunza tabia za mtumishi wake!?
Ingekuwa hivyo Boss wako angekuwa hafai kwa UZANDIKI na Majungu kwa sababu yako.
 
Ukweli shein hotuba zake ni nzuri zimepangiliwa kwa umakini hana maneno ya kejeli kwa wananchi wake anaongea kwa kufata taratibu za uongozi hakika rais wetu mtukufu magufuli chukua mfano kwa mwenzako .
Ukilijua kabila lake hautapata tabu.
 
Mbona Shein mlimdhalilisha Bungeni Dodoma kwa kumzomea ?, mbona mlikataa hata kumshika mkono tu ? Leo tena Shein amekuwa Rais mzuri na hotuba zake nzuri. Jamani mbona mnakuwa Majuha na wendawazimu?
 
Kwako kila anayeleta hoja ni mpinzani mawazo utoko
 
Back
Top Bottom