Pendekezo Langu.
Right serikali ikifanikiwa kumlika Mkoa wa kagera, kuna jimbo moja la ubunge mkoani humo lina Brightman Mbunge mstaafu wa CCM 2010-2015. Jina nimemsahau na jimbo nimelisahau. A man anafaa sana kuwa KATIBU MKUU KIONGOZI wa Serikali hii.
Ukitaka kumjua bright yake ingia mijadala ya bunge la mwisho kuelekea uchaguzi2015.
Deogratius Nalimi Kisandu
Mtemi Kiongozi wa ACA tarajiwa.