Rais Magufuli hazuiliki

Rais Magufuli hazuiliki

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
220
Reaction score
689

Na Augustino Chiwinga

0659438889

Kuelekea mbio za uchaguzi mkuu mwaka 2020, Rais Dr. Johnn Magufuli ameonesha kuwa ndio mgombea pekee ambae hazuiliki katika kushinda tena kwa awamu ya pili mfulululizo. Kutokuzuilika kwake kunatokana na wanannchi wengi kutoka katika matabaka yote kumpenda kwa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana.

Falsafa yake ya mageuzi makubwa ya kiuchumi, kiungozi,kiuwajibikaji, kiutendaji na kiuadilifu, imekua ni chachu kubwa inayomweka Rais Magufuli kileleni kila siku.

Maendeleo yote haya makubwa tunayoyaona ni matokeo ya falsafa hizo.Dira kubwa ya Rais Magufuli ni kuhakikisha kwamba kila Mtanzania kabwela anakula keki ya Taifa, na sio iliwe na watu wachache wakivimbisha matumbo yao na kuwaacha wanyonge wakiogelea katika dimbwi la umaskini.

Tunaposema keki ya Taifa haimaanishi kwamba watu watapewa pesa bure la hasha bali ni katika kuboresha , kuimarisha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za jamii kama vile maji, matibabu, miundombinu, uchukuzi, elimu kwa watu wote Raia wa Tanzania.

Rais Magufuli popote anapokwenda amekuwa ni mtu mnyenyekevu , muungwana mpole na mwenye huruma mwenye ari na uchungu mkubwa wa kuwakwamua watanzaniakutoka katika lindi kubwa la umaskini linalowakabili.

Spidi yake kubwa ya kutatuta kero za wananchi imekuwa ni mwiba mchungu kwa baadhi ya watu ambao wanajipanga kupambana nae katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Nguvu ya Magufuli ndani na nje ya CCM ni kubwa na isiyoweza kuzuilika kwa maana ya kwamba wanachama wengi wanamkubali na wana imani nae kubwa jinsi alivyoweza kuwarudishia wanachama hao chama chao kutoka kwa baadhi ya watu wachache waliokuwa wamekihodhi na kukitumia kwa maslahi yao binafsi.

Nje ya CCM ndio kabisa anaungwa mkono na makundi na rika za aina zote wenye vyama na wasio na vyama.Nawiwa kusema kwamba huenda akavunja rekodi ya kupigiwa kura nyingi ambazo zinaweza zisifikiwe na Rais yeyote katika awamu zijazo.
 
Hili liko wazi ingawa wengine wana mtazamo tofauti na watakupinga.
 
1155497
 
Waliokuwa wanabeep bila shaka wameuona moto, wakae kimya milele, tunajielewa
 
Tunajaribu kukupigia haupatikani maana kuna nafasi ya udc jaribu kuwasha simu
 
Mkuu anajaribu kukutafuta mara nyingi lakini namba yako haipatikani. Hata hii ya Tunduru ilikuhusu sana. Weka na email kwani ukikosa ile nafasi ya Miraji Mtaturu Singida sahau kabisa teuzi labda chama kikukumbuke katika jukumu la kugawa vipeperushi uchaguzi ujao.
 
Na Augustino Chiwinga

0659438889

Kuelekea mbio za uchaguzi mkuu mwaka 2020, Rais Dr. Johnn Magufuli ameonesha kuwa ndio mgombea pekee ambae hazuiliki katika kushinda tena kwa awamu ya pili mfulululizo. Kutokuzuilika kwake kunatokana na wanannchi wengi kutoka katika matabaka yote kumpenda kwa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana.

Falsafa yake ya mageuzi makubwa ya kiuchumi, kiungozi,kiuwajibikaji, kiutendaji na kiuadilifu, imekua ni chachu kubwa inayomweka Rais Magufuli kileleni kila siku.

Maendeleo yote haya makubwa tunayoyaona ni matokeo ya falsafa hizo.Dira kubwa ya Rais Magufuli ni kuhakikisha kwamba kila Mtanzania kabwela anakula keki ya Taifa, na sio iliwe na watu wachache wakivimbisha matumbo yao na kuwaacha wanyonge wakiogelea katika dimbwi la umaskini.

Tunaposema keki ya Taifa haimaanishi kwamba watu watapewa pesa bure la hasha bali ni katika kuboresha , kuimarisha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za jamii kama vile maji, matibabu, miundombinu, uchukuzi, elimu kwa watu wote Raia wa Tanzania.

Rais Magufuli popote anapokwenda amekuwa ni mtu mnyenyekevu , muungwana mpole na mwenye huruma mwenye ari na uchungu mkubwa wa kuwakwamua watanzaniakutoka katika lindi kubwa la umaskini linalowakabili.

Spidi yake kubwa ya kutatuta kero za wananchi imekuwa ni mwiba mchungu kwa baadhi ya watu ambao wanajipanga kupambana nae katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Nguvu ya Magufuli ndani na nje ya CCM ni kubwa na isiyoweza kuzuilika kwa maana ya kwamba wanachama wengi wanamkubali na wana imani nae kubwa jinsi alivyoweza kuwarudishia wanachama hao chama chao kutoka kwa baadhi ya watu wachache waliokuwa wamekihodhi na kukitumia kwa maslahi yao binafsi.

Nje ya CCM ndio kabisa anaungwa mkono na makundi na rika za aina zote wenye vyama na wasio na vyama.Nawiwa kusema kwamba huenda akavunja rekodi ya kupigiwa kura nyingi ambazo zinaweza zisifikiwe na Rais yeyote katika awamu zijazo.
comrade, sisi wa NEC wa chama tuna mtu wetu mwengine October 2020.
anzisheni chama chenu tuwaone kama mtapenya 2020!!
 
Huku nako wanazidi kuumbuka!
 
Comrade hongera kwa uzalendo wako na kuipenda nchi.

ila umesahau kutaja hao wanaomzuia.!!

ilhali umethibitisha ya kuwa anaungwa mkono ndani na nje ya chama.!?
 
Hakika tunakoelekea rais ataanza kuwatumbua nyie wanafiki wa kusifu na kujipendekeza maana sasa mnakera ogopa sana unafiki wa kumsifia mtu ambaye yeye mwenyewe ameanza kuona kwamba hastahili hizo kufanya hivyo ni sawa na kumtonesha kidonda,
 
Na Augustino Chiwinga

0659438889

Kuelekea mbio za uchaguzi mkuu mwaka 2020, Rais Dr. Johnn Magufuli ameonesha kuwa ndio mgombea pekee ambae hazuiliki katika kushinda tena kwa awamu ya pili mfulululizo. Kutokuzuilika kwake kunatokana na wanannchi wengi kutoka katika matabaka yote kumpenda kwa kiwango ambacho hakijawahi kuonekana.

Falsafa yake ya mageuzi makubwa ya kiuchumi, kiungozi,kiuwajibikaji, kiutendaji na kiuadilifu, imekua ni chachu kubwa inayomweka Rais Magufuli kileleni kila siku.

Maendeleo yote haya makubwa tunayoyaona ni matokeo ya falsafa hizo.Dira kubwa ya Rais Magufuli ni kuhakikisha kwamba kila Mtanzania kabwela anakula keki ya Taifa, na sio iliwe na watu wachache wakivimbisha matumbo yao na kuwaacha wanyonge wakiogelea katika dimbwi la umaskini.

Tunaposema keki ya Taifa haimaanishi kwamba watu watapewa pesa bure la hasha bali ni katika kuboresha , kuimarisha na kurahisisha upatikanaji wa huduma za jamii kama vile maji, matibabu, miundombinu, uchukuzi, elimu kwa watu wote Raia wa Tanzania.

Rais Magufuli popote anapokwenda amekuwa ni mtu mnyenyekevu , muungwana mpole na mwenye huruma mwenye ari na uchungu mkubwa wa kuwakwamua watanzaniakutoka katika lindi kubwa la umaskini linalowakabili.

Spidi yake kubwa ya kutatuta kero za wananchi imekuwa ni mwiba mchungu kwa baadhi ya watu ambao wanajipanga kupambana nae katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Nguvu ya Magufuli ndani na nje ya CCM ni kubwa na isiyoweza kuzuilika kwa maana ya kwamba wanachama wengi wanamkubali na wana imani nae kubwa jinsi alivyoweza kuwarudishia wanachama hao chama chao kutoka kwa baadhi ya watu wachache waliokuwa wamekihodhi na kukitumia kwa maslahi yao binafsi.

Nje ya CCM ndio kabisa anaungwa mkono na makundi na rika za aina zote wenye vyama na wasio na vyama.Nawiwa kusema kwamba huenda akavunja rekodi ya kupigiwa kura nyingi ambazo zinaweza zisifikiwe na Rais yeyote katika awamu zijazo.
Ongeza jitihada Mkuu, karibu utafanikiwa
 
Usizime Simu namba yako tunayo tunaangalia Wilaya ya kukupeleka kwanzia leo wakati wowote tutakupigia
 
Mambo mengine tuwe tuna zungumza kwa fact, mfano unapo sema waTz kutoka makundi mbalimbali. Lete details za utafiti wako hapa otherwise tunadanganyana tu
 
pole na kazi mkuu weka active number hupatikani kila tukikutafuta
 
Back
Top Bottom