Rais Magufuli Awaapisha Wakuu wa Mikoa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,870
34,355
16.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.
17-1.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
14-5.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Zelote Steven Zelote kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa.


13-5.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mh. Anne Kilango Malecela kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
15-4.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Paul Christian Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.
18.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elias Kyunga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
19.jpg


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Emmanuel Edward Maganga kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.

25-1.jpg
Wakuu wa Mikoa wakitia Saini hati kiapo cha Maadili ya viongozi wa Umma leo mara baada kuapishwa Ikulu jijini Dar na Rais Dkt John Pombe Magufuli.


OTH_3879.jpg
OTH_3887.jpg
OTH_3891.jpg
OTH_3905.jpg
OTH_3917.jpg
OTH_3936.jpg
OTH_4054.jpg


PICHA NA IKULU chanzo.GBP
 
Back
Top Bottom