Kiongozi yeyoye duniani hutawala kulingana na karama/vipaji alivyozaliwa navyo akiongozwa na taaluma aliyosomea. Mwanasayansi atatumia karama yake katika kujenga, kuunda, kutengeneza, kutafiti, kuzalisha n.k.
Hajali sana kama anayemtawala anaridhika naye au la, kama anayetawaliwa ameshiba au la.Hivi ndivyo anavyofanya rais wa sasa. Wenye taaluma za sheria, siasa, utawala, dini, udaktari, uhasibu n.k wanatawala kulingana na fani zao lakini msingi mkubwa katika kutawala ukiwa karama/kipaji. Tumewaona akina Mwinyi, Mkapa, Nyerere na Kikwete kila moja na falsafa yake ya kutawala.
Kwa wakristo, watu walipomuuliza Yesu kama inafaa kulipa kodi, aliwajibu kuwa, yaliyo ya Kaisari wampe Kaisari na yaliyo ya Mungu wampe Mungu. Alijibu hivi kwa sababu sarafu ilikuwa na picha ya Kaisari na maana yake halisi ni kuwa utawala ulioko madarakani lazima uukubali hata kama huupendi.
Rais aliyeko madarakani sasa ana taaluma ya sayansi kwa hiyo atatawala kisayansi akitawaliwa na hulka yake aliyozaliwa nayo. Lazima tupite kwa rais kama huyu kwa kupenda au kutokupenda ili tujenge taifa lenye mwelekeo wa kuheshimika duniani.
Rais moja mweupe wa South Africa aliwahi kusema. " the most inteligent black African can not think beyond one year".
Rais anataka kufuta thana hii ambayo iko kwa waafrika wengi.