Bunge gani? Una maana hili ambalo limejaa wala rushwa na mawakala wa mafisadi?MFUMO MBAYA SANA HUU.! TAKUKURU ILIPASWA ITEULIWE NA BUNGE NA IWAJIBIKE KWA BUNGE TU! NA SI RAIS.!
HAPO KWA WALA RUSHWA NA MAWAKALA WA MAFISADI UTAKUWA UNAMAANISHA WABUNGE WA CCM. NI KWELI: WALIHONGA WAPIGA KURA NA WANASTRAGO KURUDISHA HELA ZAO WALIZOHONGA. HATA HIVYO BUNGE LINABAKI KUWA BUNGE.Bunge gani? Una maana hili ambalo limejaa wala rushwa na mawakala wa mafisadi?
Ndugu kuna mihimili mitatu ya dora. Wabunge wanahaki kwa waziri mkuu tu. Hawana haki na kitu kingine.HAPO KWA WALA RUSHWA NA MAWAKALA WA MAFISADI UTAKUWA UNAMAANISHA WABUNGE WA CCM. NI KWELI: WALIHONGA WAPIGA KURA NA WANASTRAGO KURUDISHA HELA ZAO WALIZOHONGA. HATA HIVYO BUNGE LINABAKI KUWA BUNGE.
NIMEANZA NA NENO MFUMO. NENO HILI TUNAJUA NI GUMU SANA KWA WANACCM. JIFUNZE!Takukuru ni taasisi ya serikali. Kule bungeni kuna kamati. Hivi unajua mihimili ya dora wewe?
Bunge gani? Una maana hili ambalo limejaa wala rushwa na mawakala wa mafisadi?
Yaani wala rushwa na mawakala wa mafisadi unawakabidhi taarifa za maovu yao ili wajihukumu. This is fun to say the least!
Sisi tunaijua mihimili mitatu ya dola sio dora!Takukuru ni taasisi ya serikali. Kule bungeni kuna kamati. Hivi unajua mihimili ya dora wewe?
MFUMO MBAYA SANA HUU.! TAKUKURU ILIPASWA ITEULIWE NA BUNGE NA IWAJIBIKE KWA BUNGE TU! NA SI RAIS.!
UMEULIZA SWALI ZURI. NAOMBA KWANZA NIKWAMBIE KUWA HATA HUYO RAIS NI MWANASIASA. PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE. NK.NA NDIYO HIYO SERIKALI. NASEMA TAKUKURU IWAJIBIKE KWA BUNGE NA ITEULIWE NA BUNGE KWA SABABU HII KWA KIFUPI: SERIKALI NDIYO MTENDAJI NA HIVYO INAPASWA ISIMAMIWE NA BUNGE. AMBAPO BUNGE LIWE NA MENO YA KUMHOJI NA KUMUWAJIBISHA TAKUKURU IWAPO ATASHINDWA KUFANYA KAZI KUWACHUKULIA HATUA MAAFISA WASERIKALI IKIWA NI PAMOJA NA MAWAZIRI NA RAIS MWENYEWE. HATA MKURUGENZI WA TAKUKURU HATAKUWA NA UOGA KWA RAIS NA WATU WAKE KAMA ILIVYO SASA. NAOMBA NIELEWEKE JAPO NIMEONGEA KWA KIFUPI SANA.Kwanini unataka Takukuru iwajibike kwa wanasiasa na sio kwa serikali?
Bungeni wapo wawakilishi wa Serikali ambao ni Mawaziri. So Wanaweza kuwahoji mawaziri.UMEULIZA SWALI ZURI. NAOMBA KWANZA NIKWAMBIE KUWA HATA HUYO RAIS NI MWANASIASA. PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE. NK.NA NDIYO HIYO SERIKALI. NASEMA TAKUKURU IWAJIBIKE KWA BUNGE NA ITEULIWE NA BUNGE KWA SABABU HII KWA KIFUPI: SERIKALI NDIYO MTENDAJI NA HIVYO INAPASWA ISIMAMIWE NA BUNGE. AMBAPO BUNGE LIWE NA MENO YA KUMHOJI NA KUMUWAJIBISHA TAKUKURU IWAPO ATASHINDWA KUFANYA KAZI KUWACHUKULIA HATUA MAAFISA WASERIKALI IKIWA NI PAMOJA NA MAWAZIRI NA RAIS MWENYEWE. HATA MKURUGENZI WA TAKUKURU HATAKUWA NA UOGA KWA RAIS NA WATU WAKE KAMA ILIVYO SASA. NAOMBA NIELEWEKE JAPO NIMEONGEA KWA KIFUPI SANA.
WANAWEZA KUWAHOJI KISIASA NA SIYO KIMAHAKAMA. NA HATA KUWALAZIMISHA KUJIUZURU. KAMA KWENYE ESCROW NA RICHMOND. YAKAISHIA HAPO.Bungeni wapo wawakilishi wa Serikali ambao ni Mawaziri. So Wanaweza kuwahoji mawaziri.
Mfumo mzuri na wa uhakika unatengenezwa na watu wazuri...huwezi kutengeneza mfumo kwa kutumia wala rushwa, makupe, walanguzi, mabeberu, watoa rushwa, na mengine kama hayo...!Tutafute watu wazuri kwanza wakutengeneza mfumo...Mheshimiwa rais Magufuli kaaza kazi hiyo ya kutafuta watu wazuri.NIMEANZA NA NENO MFUMO. NENO HILI TUNAJUA NI GUMU SANA KWA WANACCM. JIFUNZE!
Ndugu yangu suala la PCCB kuwajibika kwa Rais au Bunge ni jambo la kinadharia zaidi. Cha msingi ni suala la utashi wa kisiasa na uzalendo.UMEULIZA SWALI ZURI. NAOMBA KWANZA NIKWAMBIE KUWA HATA HUYO RAIS NI MWANASIASA. PAMOJA NA MAWAZIRI WAKE. NK.NA NDIYO HIYO SERIKALI. NASEMA TAKUKURU IWAJIBIKE KWA BUNGE NA ITEULIWE NA BUNGE KWA SABABU HII KWA KIFUPI: SERIKALI NDIYO MTENDAJI NA HIVYO INAPASWA ISIMAMIWE NA BUNGE. AMBAPO BUNGE LIWE NA MENO YA KUMHOJI NA KUMUWAJIBISHA TAKUKURU IWAPO ATASHINDWA KUFANYA KAZI KUWACHUKULIA HATUA MAAFISA WASERIKALI IKIWA NI PAMOJA NA MAWAZIRI NA RAIS MWENYEWE. HATA MKURUGENZI WA TAKUKURU HATAKUWA NA UOGA KWA RAIS NA WATU WAKE KAMA ILIVYO SASA. NAOMBA NIELEWEKE JAPO NIMEONGEA KWA KIFUPI SANA.