Rais Magufuli aokoa Bilioni 900 kwa kuzuia safari za nje

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,069
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kuwa serikali imeokoa takribani bilioni 900 tangu Rais Magufuli azuie safari za nje za viongozi.

Hii ni kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu aingie madarakani.

Inaelezwa kuwa, tangu zuio hilo, safari zisizo na tija zimeweza kuepukwa kwa kiwango cha 36% mpaka sasa..
 
Haina haja bora wangesafiri tu!
Nchi ya ajabu kweli hii watu walisafiri kila siku ila kila kitu kilienda poa!
Amekuja mwingine amebana matumizi ila kinachofanyika kama hakionekani mikopo kwa wanafunzi,madawa n.k

kweli mtoto wa mjini ni wa mjini tu!!
Shikamoo mkwere
 
Hahaaaàaaaaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaa haaaaaaa haaaaaaaaaa haaaaaa haaaaaA aaaaaaaaaaa .. ....... ngoja nicheke kwa kuwa wanachekesha
 
Haina haja bora wangesafiri tu!
Nchi ya ajabu kweli hii watu walisafiri kila siku ila kila kitu kilienda poa!
Amekuja mwingine amebana matumizi ila kinachofanyika kama hakionekani mikopo kwa wanafunzi,madawa n.k

kweli mtoto wa mjini ni wa mjini tu!!
Shikamoo mkwere
shikamo mkwere. Hakika hakuna faida yoyote hapo yani hovyooo tu.
 
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kuwa serikali imeokoa takribani bilioni 900 tangu Rais Magufuli azuie safari za nje za viongozi.

Hii ni kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tangu aingie madarakani.

Inaelezwa kuwa, tangu zuio hilo, safari zisizo na tija zimeweza kuepukwa kwa kiwango cha 36% mpaka sasa..
Na ndio maana kila anachotaka kiwe kinakua. Mandege, matreni, mabweni ya wanafunzi na magereza, mafringover we kalamu yangu yaisha wino
 
Ziingie sasa kwenye mzunguko walimu pamoja na wafanyakazi wote wa serikali wanaodai malimbikizo yao walipwe, pia serikali ilipe madeni ya ndani.
kwani zipo ndugu? Hizo zilishaingia katika matumizi hivyo hiyo ni hesabu tu nadhani.
 
bora wangesafiri tu maana hatuoni outcome ya kubana matumizi.. ajira mpya hakuna, ongezeko la mishara kwa watumishi wa uma 0, mikopo chenga, uchumi umedorola vitu vinapanda bei pesa hakuna, ukianzisha hata kibiashara wanunuzi hakuna n.k
 
Back
Top Bottom