Kuanzia mwezi wa sita magufuli anakuwa mwenyekiti wa taifa wa cccm,je ungependa amtumbue nani kwenye chama?sasa hivi wana Ccm wanachekelea wanavyotumbuliwa watumishi wa umma
Wa kutumbuliwa walishakimbia kama vile Sumaye kipindi ni PM alishinikiza kwa nafasi yake nyumba za serikali zikauzwa.Fisadi Lowasa alishakimbia mapema kuogopa kutumbuliwa, hivyo hakuna wakutumbuliwa tena!
Atatumbuliwa yule mtangulizi aliyekula Billion 73 za ESCROW na watoto wake, kisha Mwenyekiti Wa Bunge bwn Chege mnayemwogopa haswa.Fisadi Lowasa alishakimbia mapema kuogopa kutumbuliwa, hivyo hakuna wakutumbuliwa tena!
Tena jukwaani huku akiwauliza wanachama
Mkuu ungeweka ile clip ambayo Sumaye alitetea kwa nguvu zote kuhusu kuuzwa kwa nyumba za serikali.Wa kutumbuliwa walishakimbia kama vile Sumaye kipindi ni PM alishinikiza kwa nafasi yake nyumba za serikali zikauzwa.