Rais Magufuli anajenga upinzani

Hahaha naona Nyumbu wanajipa moyo.

Any way mfa maji haachi kutapatapa..

Ukweli ni
Ukirudiwa uchaguzi wa rais Leo na chadema wakapata kura zaidi ya million 2 , haki ya Mungu natembea kwa miguu kutoka Dar hadi Simiyu.
Sawa wamatopeni
 
JPM anaujenga upinzani kwa sababu asilimia kubwa anatelekeleza yaliyokuwa yanalalamikiwa na upinzani, ila upinzani unajibomoa kwa kupinga waliyokua wanayalalamikiwa yanapotekelezwa.
 
amewaachia hiyo ajenda ambayo haina mashiko(uwezi mweleza mpiga kura wako magufuli ni mbaya coz haonyeshi bunge live akakuelewa wakati anaona kazi za magufuli) ili mzunguke nayo, yeye anapiga kazi mpaka siku mkijigundua yeye yuko m 2000000 ahead
kazi hipi hiyo?ya kumtumbua Lugumi?
 
Hahaha naona Nyumbu wanajipa moyo.

Any way mfa maji haachi kutapatapa..

Ukweli ni
Ukirudiwa uchaguzi wa rais Leo na chadema wakapata kura zaidi ya million 2 , haki ya Mungu natembea kwa miguu kutoka Dar hadi Simiyu.
kwa katiba hi hi?na tume hìhi?
 
na wang'ara kweli kweli!si umeona jpm ametulia,uku akiandaa script ya maigizo...a half month ago,jf ilikuwa haikaukiwi na habari za jpm,ila ona sasa...
 
Oneni sasa ndiyo maana chadema hatuwaelewi leo tena mnamkumbuka Jk? Lowasa mkasema sio fisadi, sasa hv tena Jk amekuwa mzuri hadi mnamkumbuka? Na bado mtanyooka tu,
 
Mrema aliisumbua serikali ya CCM na mawaziri wakajiuzuru bila Bunge kuwa "Live",kiri tu kuwa Upinzani kwa sasa una wabunge mbumbumbu kuliko kuwahi kutokea.
kila kitabu na zama zake!wabunge mbumbumbu ni kama Agnes Marwa?
 
Ukawa mnatafuta kicki ya 2020 lakin mnapomsema magu kipenzi cha wananchi mnaboa kwelikweli,
 
Mrema aliisumbua serikali ya CCM na mawaziri wakajiuzuru bila Bunge kuwa "Live",kiri tu kuwa Upinzani kwa sasa una wabunge mbumbumbu kuliko kuwahi kutokea.
Kinachowatisha msionyeshe bunge live tuwaone umbumbumbu wao ni nini?
 
Aminini hivyohivyo! Lakini sisi majority tunaamnini anabana matumizi na kuwafanya wafanyakazi wasipoteze muda watutumikie wananchi na wafanyabiashara waendelee na biashara zao kodi zaipatikane kwa wingi. Period!
 
Oneni sasa ndiyo maana chadema hatuwaelewi leo tena mnamkumbuka Jk? Lowasa mkasema sio fisadi, sasa hv tena Jk amekuwa mzuri hadi mnamkumbuka? Na bado mtanyooka tu,
Hivi umekunywa chai leo mtani kwako kunasukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…