Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Mbaya zaidi upande huu hakuna MizukaSi ndo mfurahi sasa..kazi mmerahishiwa kqa nn msifurahi?
Wewe unajua kusoma kweli?Sasa Mbona Lema anamlilia JK?.Muda huu mngenyamaza awajengee vyama vyenu huku mkifurahia.
unapatwa na tatizo la nini? kama unaona JPM anaujenga upinzani sio ndio vizuri wewe na wenzako mfurahi au wewe mwenzetu ni mwana CCM? acha aujenge upinzani tuendelee kuzungusha mikono kama mwaka jana.HATUA ya serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya imetajwa kuathiri zaidi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko vyama vya upinzani, Anaandika Pendo Omary.
Wakizungumza na MwanaHALISI Online leo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema, hatua hiyo inachangia kuwajenga wabunge wa upinzani ambao sasa taarifa zao zinafika zaidi kwa wananchi kuliko za wabunge wa CCM.
“Ni wazi serikali na CCM wanashirikiana kudhibiti bunge lisirushwe ‘live’ wakiwa na lengo la kuwakomoa wapinzani. Wabunge wa CCM nao wanafurahia hatua hii.
“Wananshidwa kujua wao wenyewe wanajinyimwa fursa wananchi kuona mambo mazuri yanayosemwa bungeni na mawaziri wao,” amesema Khamis Rajabu, Mkazi Kariakoo.
Grace Lameck, Mkazi wa Mwananyamala amesema, “Sasa tunaelewa kwa nini bunge linazuiwa kurushwa ‘live’, ni kuficha udhaifu wa wabunge wa CCM.
“Mfano ni hili sakata la Goodluck Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) hivi karibuni kudai kwamba, anayeteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lazima aitwe ‘beby’ ikiwa na maana ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Huku ni kufilisika hoja,” amesema Grace.
Grace amesema tarehe 13 Mai, 2016 baada ya Nape Nnauye ambaye ni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Mlinga alisema “ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka.”
Na kwamba, kauli hiyo imechangia wanachi kukosa imani na uteteuzi wa wabunge wa CCM kuhusu kutorushwa bunge moja kwa moja.
Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Irene Kiria, Mkazi wa Dar es Salaam anasema “bado sijaelewa kwa nini Bunge limeamua kuwapa upinzani umaarufu kiasi hiki. Social media (mitandao ya kijamii) imetaja zaidi yanayosemwa au kufanywa na wabunge wa upinzani kuliko wa CCM lakini mabaya ya CCM kuliko ya wapinzani.
“Kwa utendaji wa Rais Magufuli ulivyokubalika, wengi wetu tulipata mashaka iwapo upinzani utakuwa na nafasi katika Serikali ya Awamu ya Tano. Binafsi nikiri sasa kwamba, nilikuwa miongoni mwa waliojiuliza hivyo, kumbe nilikosea,” ameandika Kiria.
Pia Kiria ameanndika “kuzuia bunge ‘live’ ni ushahidi kwamba kimwili tunaishi katika karne ya leo lakini fikra na matendo yetu bado yako karne iliyopita. Matokeo ni huu mkanganyiko tunaoshuhudia, kulifanya jambo kusambaa na kufahamika zaidi kwa kitendo cha kujaribu kulizuia.
“Nadhani serikali na CCM wanatakiwa kutathmini namna wanavyoathirika kwa kufuta bunge ‘live’ isipokuwa kama hilo ndilo lengo lenyewe – kuwafanya wapinzani wang’are zaidi.”
Si ndo mfurahi sasa..kazi mmerahishiwa kqa nn msifurahi?
Mbaya zaidi upande huu hakuna Futuhiunapatwa na tatizo la nini? kama unaona JPM anaujenga upinzani sio ndio vizuri wewe na wenzako mfurahi au wewe mwenzetu ni mwana CCM? acha aujenge upinzani tuendelee kuzungusha mikono kama mwaka jana.
kwi kwi kwi ...... haya vuka mto majani karibu yanaisha
Mkuu hivi wewe nimumini wa futuhiamewaachia hiyo ajenda ambayo haina mashiko(uwezi mweleza mpiga kura wako magufuli ni mbaya coz haonyeshi bunge live akakuelewa wakati anaona kazi za magufuli) ili mzunguke nayo, yeye anapiga kazi mpaka siku mkijigundua yeye yuko m 2000000 ahead
Hujui ulichoandika?kweli umechanganyikiwa dogo Malisa?Wewe unajua kusoma kweli?
Pole sana kwakuhisi mimi ni malisa wewe ndio mkurupukaji wacha futuhiHujui ulichoandika?kweli umechanganyikiwa dogo Malisa?
Barare LimitedWewe unajua kusoma kweli?
Usimdharau binadamu mwenzakoumejaribu kutetea hoja yako lakini si kweli kuwa eti kutooneshewa live bunge ni kukuza upinzani.
Bunge kutokuwa live ni pigo kubwa sana kwa upinzani.ona JK alivyo kuza upinzani na demokrasia kupitia bunge hadi akina lema wanammis.
Otherwise unataka kudanganya umma kwa bandiko lako maana sijaona hata mmoja aliye toa hoja yenye mashiko may be wote hao ni std 7.
Ndio mekuja na Maigizo haya?Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
Richmond corruption scandalNdio mekuja na Maigizo haya?
Hahaha naona Nyumbu wanajipa moyo.HATUA ya serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya imetajwa kuathiri zaidi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko vyama vya upinzani, Anaandika Pendo Omary.
Wakizungumza na MwanaHALISI Online leo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema, hatua hiyo inachangia kuwajenga wabunge wa upinzani ambao sasa taarifa zao zinafika zaidi kwa wananchi kuliko za wabunge wa CCM.
“Ni wazi serikali na CCM wanashirikiana kudhibiti bunge lisirushwe ‘live’ wakiwa na lengo la kuwakomoa wapinzani. Wabunge wa CCM nao wanafurahia hatua hii.
“Wananshidwa kujua wao wenyewe wanajinyimwa fursa wananchi kuona mambo mazuri yanayosemwa bungeni na mawaziri wao,” amesema Khamis Rajabu, Mkazi Kariakoo.
Grace Lameck, Mkazi wa Mwananyamala amesema, “Sasa tunaelewa kwa nini bunge linazuiwa kurushwa ‘live’, ni kuficha udhaifu wa wabunge wa CCM.
“Mfano ni hili sakata la Goodluck Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) hivi karibuni kudai kwamba, anayeteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lazima aitwe ‘beby’ ikiwa na maana ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Huku ni kufilisika hoja,” amesema Grace.
Grace amesema tarehe 13 Mai, 2016 baada ya Nape Nnauye ambaye ni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Mlinga alisema “ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka.”
Na kwamba, kauli hiyo imechangia wanachi kukosa imani na uteteuzi wa wabunge wa CCM kuhusu kutorushwa bunge moja kwa moja.
Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Irene Kiria, Mkazi wa Dar es Salaam anasema “bado sijaelewa kwa nini Bunge limeamua kuwapa upinzani umaarufu kiasi hiki. Social media (mitandao ya kijamii) imetaja zaidi yanayosemwa au kufanywa na wabunge wa upinzani kuliko wa CCM lakini mabaya ya CCM kuliko ya wapinzani.
“Kwa utendaji wa Rais Magufuli ulivyokubalika, wengi wetu tulipata mashaka iwapo upinzani utakuwa na nafasi katika Serikali ya Awamu ya Tano. Binafsi nikiri sasa kwamba, nilikuwa miongoni mwa waliojiuliza hivyo, kumbe nilikosea,” ameandika Kiria.
Pia Kiria ameanndika “kuzuia bunge ‘live’ ni ushahidi kwamba kimwili tunaishi katika karne ya leo lakini fikra na matendo yetu bado yako karne iliyopita. Matokeo ni huu mkanganyiko tunaoshuhudia, kulifanya jambo kusambaa na kufahamika zaidi kwa kitendo cha kujaribu kulizuia.
“Nadhani serikali na CCM wanatakiwa kutathmini namna wanavyoathirika kwa kufuta bunge ‘live’ isipokuwa kama hilo ndilo lengo lenyewe – kuwafanya wapinzani wang’are zaidi.”
Upinzani ni imara sanaNilijuwa kasi ya Magufuli ya itapelekea upinzani kufa kifo cha mende.Lakini dah yaan ndio kwanza upinzani umepata pa kushikia mpaka 2020.#Bunge live