Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Rais John Pombe Magufuli amewasili Mkoani Dodoma, Amteua Prof Chibundu kuwa Makamu mkuu wa Chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA).

C-L1n5AXkAEPAv7.jpg
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!
 
....acha hisia na dhahania,
..unaonekana juha tu hamnazo!
 
....acha hisia na dhahania,
..unaonekana **** tu hamnazo!

Asante kaka, Hongera sana wewe uliyebarikiwa na Mungu kwa kukufanya uwe nazo. Kama utakuwa na za ziada nitashukuru nami ukinigawia japo kiasi tu. Uwe na wakati mwema and Be Blessed.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Huyu chibunda atakuwa wa kaskazini tu nyie mnasema kila siku sijui kanda ya titi oh ziwa
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!
Hahahahahaaaaa! Yaani siku hizi CHAGADEMA mko out of touch. Kweli mmeishiwa. Poleni sana. SUA tuko Imara sana na tuna uelewa mkubwa kuliko huu unaoutumia kuandika mtu. Kuteuliwa mtu kuwa VC sio lazima atoke hapa kwetu. Tuko happy na tutachapa kazi kama kawaida. Kusema 2020 tusifanye tena kosa maana yake tuchague EL au TL au Mwwnyekiti wenu asiekuwa na kitu kichwani? Big no. We are great thinkers.
 
Naona kuna tatizo sehemu fulani juu ya teuzi za mkulu. Nadhani watu wanaomshauri labda wamekata tamaa baada ya kuona Mkulu hataki kushaurika ....kupokea ushauri au nao ni watetea matumbo yao tu.

Hivi unaanzaje kumteau Profesa ambaye ametoka nje ya field (mathalani from being Lecturer ) na kwenda kuwa mtawala katika wizara fulani...halafu baada ya miaka kadhaa ukamrudisha kuwa VC katika chuo alichotoka au hata kwenda kuwa VC katika chuo kingine? Mkulu anafanya mambo ya aibu sana as if SUA hakuna ma-professor waliobobea na ambao wana sifa za kumzidi huyu jamaa!

Imagine sasa mtu kama huyu anakwenda pale SUA halafu hakuna happiness from SUA community to support him; will he manage to perform well? Hivi ni lazima amteue mtu kisa tu anafahamiana nae kwa muda hivyo anaona ampe ulaji?

It is a shame! Wana SUA poleni sana, hakuna namna komaeni tu hivyo hivyo lakini 2020 sio mbali, msije rudia kosa la 2015!
Ndugu, kwanza ungejibidisha kuelewa sharia inasemanje kuhusu uteuzi wa VC. Hizo kazi watu wanaomba, majina matatu yanapelekwa kwa Rais, halafu Rais anateua mmoja wapo kati ya hao waliopendekezwa na recruitment committee. Vinginevyo malalamiko yako yanaonekana simply kuwa ni cynicism. Pili unaonekana kudhuriwa na fikra za enzi za Kikwete, this time around mambo hayo hakuna tena ni mzigo tu. Waulize waliopo huko wakujuze. Ni moto chini.
 
Back
Top Bottom