tukipata wa Tanzania kumi kama wewe hii nchi itakuwa tayari ishachukuliwa na Mungu ili aiunde upya, hata Goodluck mlinga hana akili mbovu Kama hiziHuyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Wana Iringa mjiandae na ujio wa Rais Magufuli kwa ziara ya siku kadhaa akiwa anatokea Arusha ambako yuko mpaka leo.
Rais ameyasema hayo muda huu akiwa anatoa hotuba yake kanisani baada ya kusimikwa kwa Askofu Aman Massawe.
Naona ziara za mikoa ya nyanda za juu kusini zimeanza kwa Mheshimiwa Rais
Ha ha ha!Akienda mbeya mjini mniambie
Kweli mkuu sasa ameanza kuingiwa na akili kuwa ukabila haulipi TanzaniaHa ha ha!
Nami wazo hilo lilinijia.
Lakini poa sana, maana at last Magufuli an take up role ya kuwa rais wa nchi nzima ,si wale wa Mwanza tu.
Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Watu mna nongwa asipofanya ziara ooh Mbona sehemu nyingine hafiki yeye ni kada ya Ziwa tu, akifanya ziara ooh mafuta mafuta jamani mara ooh maandamano...Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Basi nawewe unajiona umetoa booonge moja la point!!!Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.
Mimi naurumia nchi yangu Tanzania.
Haya magari anayotumia Rais na wafuasi wake yanatumia Mafuta mengi sana na Garama yake ni kubwa sana lakini huyu mzee anakimbia Pande zote za Tanzania ili kuziba maandamano ya Mangw kimambi?
Toka alivoanza kutumia haya magari anaingiza Serekali Hasara mbaya sana,hawezi jua kua anatumia pesa za walipa kodi vibaya,anataka sifa za kijinga ambazo zinaleta hasara kwa Taifa.
Basi imetosha hizi pesa zinazoteketetea kwenye mafuta na msafara huu wote ni dawa nyingi sana hospitalini.
Kwa hiyo ulitaka Rais atumie baiskeli?Huyu jamaa Mange kimange amemvuruga,.