Rais Magufuli aleta neema wilayani Kyela Msikiti wachangiwa mamilioni ya ujenzi, CCM yatoa sh 1 milioni Chadema hawana mchango

Vyama vipo zaidi ya 20 mbona hujavitaja. Wewe ni bogus tu wala hauna maana yoyote. After all, hata hao waliochanga labda ni za kupiga tu hizo.
 
Magufuli anachangisha msikiti? Asijefikia mahali akatoa maagizo kama ya Tetemeko Bukoba!
 
Hahahaa....... Mbwiga ni mbwiga tu!
Mleta hoja kasema Chadema haikuchangia mchango huko Kyela ndio maana ya hoja yangu kuwa mchango ni hiari siyo lazima na vyama vya siasa ni vingi sasa kwa nini analalamikia Chadema tu kutotoa mchango?
 
Back
Top Bottom