.Sidhani kama ushauri wangu kwako itakuwa ni kukukosea heshima,kwenye ukweli tuseme tu ukweli bila kupepesa macho.
Mh Rais umekuwa ukiihadaa Dunia kwamba chama chako CCM pamoja na wewe binafsi mnapendwa mno na watanzania jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Ulipoingia madarakani ulipiga marufuku mikutano ya kisiasa ukidai kwamba huu ni wakati wa kufanya kazi na siasa zingefanyika 2020.
Cha ajabu wewe na chama chako ndo peke yenu mnafanya siasa kwa kuwarubuni wapinzani na kisha serikali inatumia pesa nyingi mno kufanya uchaguzi feki wa marudio,uchaguzi wa kuihadaa Dunia kwamba Tanzania kuna Demokrasia ,kumbe Demokrasia ya Tanzania ni kuipenda CCM.
Rejea kauli yako ,nakunukuu"Nakulipa mshahara,nimekupa gari na nyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda".
Mh Rais,wewe ni Baba wa watoto wote,lakini unabagua wanao.
Pesa zinazotumika kwenye chaguzi feki za marudio zilipaswa kutumika hata kutunza watoto yatima,watoto wa mitaani,wagonjwa na wajane,Mungu hawezi kubariki taifa lililojaa hila na chuki kwa wengine.
Rejea Habari ya Kaini na Abel,ndicho kitaikuta Tanzania.
Mungu hubariki taifa lenye upendo na mshikamano wa utakatifu,na siyo tambiko la mwenge na kuwaambia watu warejee CCM,CCM ndo kitu gani? CHADEMA ndo kitu gani?haya madude yamekuja juzi tu,Tanzania ilikuwepo na itakuwepo hata baada ya haya madude kutoweka.
Tunahitaji kuwa wawazi na wakweli eti wanamuita chaguo la MUNGU wakati kahonga na kujeruhi watu toka lini MUNGU akahonga. Huyu ni rais mpagani otherwise chaguzi za mauaji ya akina AKWILINA yasingekuwepo. Tungeona chaguzi za amani.Sidhani kama ushauri wangu kwako itakuwa ni kukukosea heshima,kwenye ukweli tuseme tu ukweli bila kupepesa macho.
Mh Rais umekuwa ukiihadaa Dunia kwamba chama chako CCM pamoja na wewe binafsi mnapendwa mno na watanzania jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Ulipoingia madarakani ulipiga marufuku mikutano ya kisiasa ukidai kwamba huu ni wakati wa kufanya kazi na siasa zingefanyika 2020.
Cha ajabu wewe na chama chako ndo peke yenu mnafanya siasa kwa kuwarubuni wapinzani na kisha serikali inatumia pesa nyingi mno kufanya uchaguzi feki wa marudio,uchaguzi wa kuihadaa Dunia kwamba Tanzania kuna Demokrasia ,kumbe Demokrasia ya Tanzania ni kuipenda CCM.
Rejea kauli yako ,nakunukuu"Nakulipa mshahara,nimekupa gari na nyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda".
Mh Rais,wewe ni Baba wa watoto wote,lakini unabagua wanao.
Pesa zinazotumika kwenye chaguzi feki za marudio zilipaswa kutumika hata kutunza watoto yatima,watoto wa mitaani,wagonjwa na wajane,Mungu hawezi kubariki taifa lililojaa hila na chuki kwa wengine.
Rejea Habari ya Kaini na Abel,ndicho kitaikuta Tanzania.
Mungu hubariki taifa lenye upendo na mshikamano wa utakatifu,na siyo tambiko la mwenge na kuwaambia watu warejee CCM,CCM ndo kitu gani? CHADEMA ndo kitu gani?haya madude yamekuja juzi tu,Tanzania ilikuwepo na itakuwepo hata baada ya haya madude kutoweka.
Fala kikwetu ni shujaa poriUmekosa point ya Ku comment maana huna La kuongea umeishia kuniita fala,CCM imejaa vilaza hasa eti na wewe ni tegemeo la Lumumba, my foot!
Pamoja mkuuUmenifanya nicheke sana,watz ndo tulivyo
Ni uhuru wakujieleza kwenye Tv live ndo unatakiwa.Ndicho anakifanya ,halafu anabana pua eti uhuru wa kujieleza haupo nchini
Hawa akili zao wanazijua wenyewe. Anaongelea uhuru wa kuongea wakati anautumia kwa kuwajulisha watanzania wote kitu gani kimo akilini mwake kwa sasa.Ulivyo fala utasema nchini hakuna uhuru wa kutoa maoni, hapa unapiga mgalala kwa kutumia gwanji?
Exactly!Hawa akili zao wanazijua wenyewe. Anaongelea uhuru wa kuongea wakati anautumia kwa kuwajulisha watanzania wote kitu gani kimo akilini mwake kwa sasa.
Wakati mwingine hizi nchi maskini za ulimwengu wa tatu zinastahili sana kupelekeshwa kwa viboko kuliko hekima ya kumsikiliza mtu anaongea nini.
Mzee wa Ilogi huyoSidhani kama ushauri wangu kwako itakuwa ni kukukosea heshima,kwenye ukweli tuseme tu ukweli bila kupepesa macho.
Mh Rais umekuwa ukiihadaa Dunia kwamba chama chako CCM pamoja na wewe binafsi mnapendwa mno na watanzania jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Ulipoingia madarakani ulipiga marufuku mikutano ya kisiasa ukidai kwamba huu ni wakati wa kufanya kazi na siasa zingefanyika 2020.
Cha ajabu wewe na chama chako ndo peke yenu mnafanya siasa kwa kuwarubuni wapinzani na kisha serikali inatumia pesa nyingi mno kufanya uchaguzi feki wa marudio,uchaguzi wa kuihadaa Dunia kwamba Tanzania kuna Demokrasia ,kumbe Demokrasia ya Tanzania ni kuipenda CCM.
Rejea kauli yako ,nakunukuu"Nakulipa mshahara,nimekupa gari na nyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda".
Mh Rais,wewe ni Baba wa watoto wote,lakini unabagua wanao.
Pesa zinazotumika kwenye chaguzi feki za marudio zilipaswa kutumika hata kutunza watoto yatima,watoto wa mitaani,wagonjwa na wajane,Mungu hawezi kubariki taifa lililojaa hila na chuki kwa wengine.
Rejea Habari ya Kaini na Abel,ndicho kitaikuta Tanzania.
Mungu hubariki taifa lenye upendo na mshikamano wa utakatifu,na siyo tambiko la mwenge na kuwaambia watu warejee CCM,CCM ndo kitu gani? CHADEMA ndo kitu gani?haya madude yamekuja juzi tu,Tanzania ilikuwepo na itakuwepo hata baada ya haya madude kutoweka.
Mshana wewe[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nacheka kwa huzuni sana
Wajinga wanawanufaisha wajanja......bonge la Literaly picture
Umenikumbusha Manji alivyokuwa akimwaga pilau kwenye kampeni zake Mbagala Zakiemu.