magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,336
Wanajamvi
Salaam;
Siku chache zilizopita wakati Rais akiwaapisha wakuu wa mikoa,aliagiza pamoja na mambo mengine wahakikishe kila mtu afanye kazi kweli kweli,alisisitiza vijana waambiwe wafanye kazi,km hawataki kufanya kwa hiari walazimishwe.
Wazo la mkuu wa kaya ni wazo zuri sana! Lkn ili kulitendea haki,naomba Rais awatume vijana wake waanze na Humphrey Polepole ambae kila kukicha anazunguka kwenye vyombo vya habari. Na kwa sasa amevuka mpaka,ameanza kuwa msemaji wa serikali. Anatoa matamko kuitamkia serikali kana kwamba haina wasemaji wake. Huyu mtu akamatwe akalime kwa lazima.
Kuna tetesi kwamba jamaa anafanya vile kuomba hisani ya ukuu wa wilaya,yaani Rais Magufuli ukimteua huyu jamaa hata nafasi tu katibu tarafa,utakuwa umeharibu kila kitu...!
Kuweka nidhamu ya kazi na kwa wahuni wengine,kamata huyo Dogo peleka kijijini akilime!!
Nawasilisha!!