wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Kiki za kijinga sana hizi!unaenda kuwadistract watu wanaomuomba Munguwewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.
wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.
Chuki ikizidi ndiyo huwa hivyo rangi nyekundu huonekana kuwa nyeusi n.kImekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Rais kaingilia ibadHawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wametawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Sasa huu tena sijui ni nini!? Sijui ni chuki binafsi au ni kutokuelewa mambo ya ibada. Rais Magufuli ni mkatoliki labda hata kukuzidi wewe unayeeleza mambo yasiyo eleweka kwa nia tu ya kutaka sifa zisizo na uhalali. Kukusanya sadaka ni kitendo cha kujiotolea, mtu yoyote au muumini yoyote anaweza kukifanya kwa kujitolea na kwa uaminifu sana kama alivyofanya Rais wetu jana. Kama ni kosa tungoje viongozi wa dini ya Kikatoliki watueleze! Tusidandie mambo kwa ushabiki, tutaishushia hadhi JF yetu jamani.
Kuna shughuli au kazi kwenye ibada hawezi kufanya mtu bila kupangiwa, LAKINI kukusanya ibada anaweza kufanya muumini yeyote kufuatana na mazingira; tuseme kwa mfano, labda kuna sehemu wakusanya sadaka "waliopangwa" hawakufika kwa sababu moja au nyingine, muumini aliye karibu anaweza kufanya kazi hiyo. Hakuna kizuizi chochote in that!Je alipangiwa kukusanya!? Hakuna cha chuki kama wajinga waliokunywa maji ya viatu wanavyodai. Ibada ziheshimiwe.
Kukusanya sadaka anaweza fanya mtu yeyote, mbona wakati wakupeleka vipaji kama waliopo hawatoshi huchukuliwa yeyote aliyepo karibu? Ni watuvna watu na roho zao za koroshoKuna shughuli au kazi kwenye ibada hawezi kufanya mtu bila kupangiwa, LAKINI kukusanya ibada anaweza kufanya muumini yeyote kufuatana na mazingira; tuseme kwa mfano, labda kuna sehemu wakusanya sadaka "waliopangwa" hawakufika kwa sababu moja au nyingine, muumini aliye karibu anaweza kufanya kazi hiyo. Hakuna kizuizi chochote in that!
hii serikali kumbe ina dini.Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Nadhani una matatizo kichwani mwako. Dkt Magufuli kalelewa na wakatoliki anafahamu taratibu zote! Wewe utakuwa ni wa vyama vya upinzani, ukome kushobokea vitu visivyokuhusu.Imekua kama kansa sasa Rais Magufuli kuingilia taratibu za kawaida za ibada . Anachofanya wakati wote ni unajisi tuu na hakina tafsiri yoyote. Mengine ni kampeni za kijinga aonekane si mdhambi. Wanaosali Oysterbay katoliki wanajua kero hizi. Yaani watu Hawasali tena kwa utulivu kisa sifa za kisiasa. Jana mpaka anajipeleka kukusanya sadaka wakati kuna wahudumu huandaliwa kabisa kwa kila tukio ndani ya adhimisho. Kuna siku atataka na kukomunisha na Pengo atakenua tuu.
Hapa nasimamia liturjia yetu Katoliki upuuzi huu ufe mara moja. Atumie chapel ya ikulu inamtosha. Wengi including viongozi katoliki ambao kwa sasa wamegawanywa na siasa na kufumbwa midomo wako kimya tu . Upuuzi nyamazeni sisi mawe tunasema. RAIS HESHIMU IBADA ZETU TAFADHALI.
Hebu komaza ubongo kidogo,wewe ndio mpuuzi.raisi kaonyesha kuwa ni mtanzania wa kawaida sana na ana uwezo wa kufanya kazi nyingi mbalimbali kwa mikono yake.kukusanya sadaka ni kuingilia liturujia? hujui ukatoliki wewe kwenda zako.