Kuanzia tarehe 23/03/014 kukagua miradi ya maendeleo,swali kwake miradi ipi wakati viwanda,bandari na mashamba ya mikonge yamekufa?
imekufa lini?Kuanzia tarehe 23/03/014 kukagua miradi ya maendeleo,swali kwake miradi ipi wakati viwanda,bandari na mashamba ya mikonge yamekufa?
Mtu ameamua kwenda wkend kutalii eti ziara
Unafikiri kikwete ana akili ndogo kma ya mbowe anayeenda kula ruzuku ya chadema dubaiMtu ameamua kwenda wkend kutalii eti ziara
Aende na pemba na unguja kama serekali mbili zinawezekana.