Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

Asante sana Mh Kikwete kwa kutupa Magufuli uliona mbali sana na Mungu akupe umri mrefu.

“Niliwaambia nchi yetu inahitaji mawazo mapya na mwelekeo mpya ulio tofauti na uongozi wangu. Niliwaambia tusiporuhusu jambo hilo kufanyika, nchi yetu itabakia pale pale ambapo nimeifikisha mimi,” alisema Rais Kikwete.

“Haya yatakuwa ni makosa makubwa sana kwa sababu nchi yetu lazima isonge mbele kwa mawazo mapya na staili mpya ya uongozi,”.
 
Back
Top Bottom