Rais Kikwete ana SIRI!

Hivi kwanini hasikuteuwe uwe hata Msaidizi wa Rais badala ya kumteuwa January au Jairo? naamini kama angekupa U-PS Nishati na Madini kwa maneno haya husinge diriki kuwapa hongo Wabunge kwa ajili ya kupitisha Bajeti hata kama ungekuwa damdam nae labda hapo hatua zinge anza kwenda mbele maana ndipo gari lilipo kwama hapo Mkuu.

Nimejidhiirisha kuwa hata kama angekupa U-waziri kama kuna kosa la kuwajibika husinge katikalia ofisini kama Ngereja na Hussein bin Mwinyi kama watanzania wangepiga kelele ujiuzulu maana hapo pia ndipo panapotukwamisha mara zote Mkuu Ivuga!

Sasa basi nakubaliana nawe kuwa Rais ni wa mwisho katika utendaji lakini ni kwanza na mwisho katika Maamuzi makuu ya kusonga mbele; pale anaposhindwa kuchukuwa hatua basi wananchni wote wanakata tamaa na kuanza kulia maana mkiona kitu kimemshinda Baba basi mjue hakuna jinsi ni kulia tu "NO WAY" Urais pia ni kazi rahisi sana lakini mpaka upate wasaidizi makini na wenyewe uwezo nadhani hapa ndipo alipo kosea mara zote mpaka leo hadi kesho.

Pia Urais unahitaji ujasiri na hata kiapo cha Urais kinatambua hilo lakini pia kama binadamu ujasiri unaweza kupotea pale ambapo wewe mwenyewe umekwisha kujidhalilisha na kushiriki katika mambo ambayo unatakiwa kuyakemea hivyo unapoteza uwezo na ujasiri wa kukemea, maana kama kila siku unagongana na wanao hotelini umelewa na kimada pembeni hakika lazima ukose ujasiri wakuwa kemea juu ya tabia ya ulevi na Uzinzi maana kama ni kinara wewe ni namba moja; hapa pia ndipo palipo mkwamisha Mkuu wetu baada ya kukubali na kujikuta kuingia katika mitego na dili za Ufisadi kwa kusaidia na rafiki zake wakubwa Jairo, EL, RA, & Chenga... ila naona kama hasingefanya kosa ange kuteuwa St. Ivuga labda haya yote yasingetokea, mathalani alipouliza kama hatuna wasomi yeye tokea ameingia madaraka amediri kuwatumia wasomi mara ngapi katika mambo yake au kwake Urafiki unanguvu kuliko Usomi? maswali ni mengi sana ila kwa kifupi alipokosea ndipo hapo hapo wewe unapomsifia nashindwa kukuelewa hata kidogo..........Leo jogoo anawika ndio wanapiga kelele Lowasa ni fisadi lakini haya maneno yalisemwa na Nyerere 1995 bado yeye bila aibu akamteuwa kuwa PM wake? huoni pale alipojikwaa kama huoni basi fumbuwa macho ...

Hatuwezi kufanya na hatuta fanya mambo ambayo si wajibu wa kifamilia, kama unaongea mamabo ambayo ni wajibu wakifamia tunafanya kila siku nandio maana wanapata kodi ya kuiba na kutumia kifisadi wajibu wetu namba moja kwa serikali ni kulipa kodi tunalipa hapo ndipo serikali ingeweza kutulaum lakini kama tuanalipa kodi lakini hanashindwa kuzisimamia na pia anashindwa kuzipangia development priority kwanini hasiondoke ampishe mwingine atakaye weza?!

Mbona unaji-contradict? Hawezi kuwa hana tatizo halafu usiridhike na uongozi wake!

Mbona unaji-contradict? Hawezi kuwa hana tatizo halafu usiridhike na uongozi wake!
kwani bandiko limebase upande mmoja?...unajua stori ya kalumakenge?...safari moja ilianzisha safari nyingine..

kwani mmesahau rais wa nchi hii amepewa kweli mamlaka ya kufikiri badala ya watz. Hamwoni anayoyafanya kwa niaba yenu? Angalia teuzi zake na maamuzi yake kadhaa.

Mtaji wa CCM kuwa madarakani ni ujinga na ukondoo wa watanzania,haingii akilini kuwa madhila yote haya km nchi kuwa gizani bado JK na viongozi wa CCM wanaweza kukusanya watu na wakawasikiliza bila japo kuwazomea. CCM KUWA MADARAKANI NI JANGA KUBWA KWA TAIFA HILI.

Sijaona siri yoyote ya ikwete hapa...!!

Labda anataka kuuza nchi. H

Thats why there is a leader and a follower,kiongozi akiyumba au akiwa hovyo kama Jakaya lazima wanaoongozwa watayumba na kiongozi akiwa imara kama Kagame lazima wanaongozwa wataimarika,kwa Tanzania labda utulaumu wananchi kwa kutofanya mapinduzi ya kumwaga damu dhidi ya utawala dhaifu usio na malengo wala tija kwa mustakbar wa nchi.

siwezi kuwalaumu kwa kumwaga damu mtalaumiwa na vizazi vyenu kwa kuirudisha ccm madarakani kwa kupitia box la kura

Saint Ivuga,

Binadamu wote hawawezi kufanana na ndio maana mambo yanakwenda hivi tuonavyo, na ndio maana basi;

...walizaliwa ili waolewe na kuishi na waume zao,

...walizaliwa ili waoe na kuishi na wake zao,

Kwahiyo basi, wakuolewa atakapolazimisha kuoa na wakuoa atakapolazimisha kuolewa matokeo yake ndo kama haya!!!!! ni

lazima majukumu yatamshinda na Kila mtu atajua alaaa, kumbe huyu ni wa kuolewa... sasa kwanini jamaa/ndugu zake

waliamua kumpa mke badala ya Mume?

......tusimjudge rais wetu ama mtu yeyote yule...mayb ana vision lkn peer groups ni kikwazo cha yeye kuwa responcbo....i think he z afraid of his frndz kuwa anastaafu soon.......then akiwasaliti itakuwaje?....our president anahitaji kuwa na more self-confidence...dic z juc a fact

Hiyo siyo siri nzito ya Mhe. Rais, haya ni mawazo yako ila umeamua kumsemea Mhe.
Umesema mengi sana. Mengine ni ya msingi, ila yanataka mtu au kiongozi ayasimamie utekelezaji wake.
Ukiwa kiongozi maana yake uwe mbunifu na msimamizi mzuri wa maamuzi uliyo/mliyoyafikia

St Ivuga leo nimependa sana thread yako. Huwa napata hasira sana nikiona watu wanatupa taka barabarani or anywhere pasipo takiwa.
We are human beings and not animals. God gave us the ability to think and differentiate the right from wrong.
We should have the ability to see the poor old lady sweeping the road to keep it clean. And some person comes right behind her and drop gamba la ndizi or an empty bottle of maji ya kunywa.

bora umeona kuna wengine walianza kunilaumu eti namtetea rasi....sasa sijui hadi mikakati ya kuzoa matakataka barabarani Rais aje ate tamko..

Yapo mambo ambayo mwananchi anawajibika kuyafanya,bila msaada wa serikali kwa mtizamo mwepesi,lakini mwisho wa siku hadithi ni ile ile ya Karumekenge alikataa kwenda shule.

1. Makala nzuri,
2. Ni kweli watanzania wengi (haswa viongozi) ni wavivu wa kufikiri, na hili ndilo linalomletea shida Mh. Rais ktk uongozi wake, kasi yake ya uongozi na staili zinatofautiana kwa kiasi na baadhi ya viongozi (Mf. Mh. Lukuvi juzi bungeni, Yule mbunge Mh. Simbachawene "eti Rais anatukanwa wakati watz wamechoka na maisha wanatoa challenge kwa Rais).
3. Na hii imepelekea kuwa na viongozi wafuasi wa Rasi badala ya viongozi watendaji.
4. Na kwa upande wa raia (Watz) wao hatuwezi walaumu sana kwani sasa hivi wapo busy na kufikiri jinsi gani maisha yatakuwa bora, haswa baada ya elimu ya uraia iliyotolewa na vyama vya upinzani.

tujaribuni ujinga kwa kuwa elimu ni gharama!!! hapa nimepapenda sana na muomba JK afanye hivyo

Nimekuelewa vizuri ivuga tatizo ni sisi watanzania kuamua kumchagua kwa mara ya pili hali tunajua ufanisi wake uko chini.

Nimekuelewa vizuri ivuga tatizo ni sisi watanzania kuamua kumchagua kwa mara ya pili hali tunajua ufanisi wake uko chini.
imekupigia makofi.. wewe jamaa una akili nyingi sana...hited the point

siwezi kuwalaumu kwa kumwaga damu mtalaumiwa na vizazi vyenu kwa kuirudisha ccm madarakani kwa kupitia box la kura

Ingekuwa ni rahisi kuwatoa CCM kwa barrot box basi neno 'kuchakachua' lisingekuwa maarufu kama ilivyo sasa ndio maana nikasema tulaumiwe kwa kutofanya mapinduzi ya nguvu kuing'oa CCM

Tanzania ni moja ya nchi rahisi sana kuendeleza kwa kiongozi mwenye ufahamu na vision. Kuna ardhi ya kutosha yenye rutuba, watu wasio na fujo, watiifu na woga, kuna madini kila mahali. Hebu fananisha mambo hayo na jirani zetu wa Rwanda, Kenya au hata DRC.
Mambo matatu tu kiongozi akiyafanya Tanzania itaendelea hata katika kipindi cha miaka 20 ijayo.
Kiongozi awe na nidhamu yeye mwenyewe halafu aweke nidhamu kwa taifa, ikilazimu hata kwa viboko. (nidhamu: doscipline, namaanisha katika mambo yote, ya fedha, ya utawala bora na siasa za maendeleo)
2- Asimamie elimu kiasi kila Mtanzania apate elimu bora ya kisasa hadi angalau form 6 (Hakuna kufukuzana darasa la saba n.k.)
3- Awezeshe asilimia 90 ya Watanzania wawe na umeme.(hakuna nchi iliyoendelea bila umeme)
Haya ni mambo yanayowezekana tena kwa muda mfupi sana kama kiongozi atakuwa na vision na atajua priorities.
Kama kiongozi atafuata haya, basi moja kwa moja hatafanya yafuatayo-
-Hataruhusu rushwa kwa mtu yeyote, si mwanasiasa, askari au hata raia wa kawaida na hatakubali kununuliwa.
-Kwa kila shilingi itakayotumika atahakikisha inatumika kwa sababu moja tu- ya kuleta shilingi nyingine. Hivyo hakutakuwa na misafara ya kuaga au kuamkia.
-Hatakuwa mvivu. Siku zote atafuatia mambo. atachagua watu waaminifu na hatasita kumfukuza yeyote, kutaifisha mali yake au kumfunga ikibidi hivyo.
Jee, kuna kiongozi yeyote wa Tanzania, including Mwalimu, aliyafanya haya? Mfano wa karibu wa mtu aliyeyafanya haya ni Kagame. Na Kimataifa ni
Lee Kuan Yew wa Singapore, na pia viongozi wa China.
Hakuna jambo la ajabu katika maendeleo, wala si uchawi- ni akili timamu iliyo na lengo na uaminifu. Bongo tunachezeana tu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…