SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Acha ujinga wako...IQ ndogo haiwezi kuongoza IQ kubwa....kama nimetoa wazo na likakubalika na nikapewa kazi ya kulisimamia na likafanikiwa mm niliyesimamia ndiye napaswa kupongezwa.
Kwa nini hadi sasa tunampongeza Jenerali Twalipo?
yakiwa ni mambo mabaya anaambiwa yeye waziri ndio ameharibu na sio rais
lakini mambo mazuri ndo yamefanywa kwa niaba ya rais ....
Wakati wa sherehe ya kumuaga Rais Kikwete iliyoandaliwa na Wizara ya Ujenzi, Rais kikwete alimpa somo Lowasa kwa kueleza kuwa mtu akiwa Waziri hapaswi kujisifia kuwa amelifanya jambo Fulani yeye binafsi katika nchi wakati Waziri hufanya kazi kwa niaba ya Rais. Alitolea mfano huo alipokuwa anamsifia Waziri Pombe Magufuli ambaye pamoja na kazi nzuri ya ujenzi wa Barabara lakini wakati wote amekuwa hajisifii kuwa anafanya yeye binafsi. Uchunguzi unaonesha kuwa Rais alikuwa anampa somo hilo Lowasa ambaye anajitapa kuwa alijenga UDOM wakati wazo hilo ni la JK mwenyewe binafsi wala halikuwa ktk ILANI YA CCM
Acha ujinga wako...IQ ndogo haiwezi kuongoza IQ kubwa....kama nimetoa wazo na likakubalika na nikapewa kazi ya kulisimamia na likafanikiwa mm niliyesimamia ndiye napaswa kupongezwa.
Kwa nini hadi sasa tunampongeza Jenerali Twalipo?
Somo gani? la kusafiri au? Lowassa haitaji kuishi angani na nje ya nchi! Laigwanan anatakiwa kukaa na wananchi na mifugo yake