Mwanahisa
JF-Expert Member
- Jun 29, 2012
- 1,382
- 515
Haya ni maneno ya Rais Kagame.
Tatizo kubwa la historia ya Afrika, imeandikwa kutoka sehemu nyingine na watu wengine wasiokua Waafrika. Ndio maana kila mtu anaiangalia Afrika nakuisemelea vile anavyojisikia kusema.Wanatunga mitizamo ya hisia zao na sio uhalisia ulivyo. Tunachoweza kufanya kwa manufaa yetu ni kuyamiliki matatizo yetu, na kutengeneza utatuzi wetu wenyewe kisha tuandike historia yetu wenyewe. Hii itatusaidia kujua ni kiasi gani cha hatari inatukabili, na mtizamo utakua halisi.
Huyu ndie Rais anaongoza watu wake, sio anaeruka juu ya vichwa vya anaowaongoza. Kudos Kagame. ​MODS mpeni huyu jamaa membership, typical great thinker.