zuberi kimweri
Member
- Sep 19, 2015
- 64
- 9
Ilikubaini madudu na kuwafanya wananchi Wa wilaya za muheza na mkinga rais wape salamu maana watumishi hawapati haki zao madeni mengi sana na wananchi wananyanyasika sana halafu wachache wanafaidi tunakuomba Mkuu.