Nakuunga mkono. Ni wakati wa kuamua hatima yetu sisi wenyewe. Nashangaa wanaosema ni kusaliti mawazo ya waasisi! Wana macho na masikio ya kuona na kusikia kinachofanyika Zanzibar? Je Zanzibar aliyoiacha Karume ndo hiyo hiyo?? Watanganyika tukitaka Tanganyika inakuwa kusaliti fikra za waasisi!!!hebu acheni kwanza twende likizo na hiki kitu kinaitwa muungano halafu tukirudi tutatia akili.
hebu fikiria wengine walikubali kuitwa tanzania bara ila wengine hawakukubali kuitwa tanzania visiwani sasa kuna dhambi gani sisi tusirudi kwenye utanganyika wetu.
malalamiko yamekuwa mengi na kila sehemu inaona ni ya msingi ni bora iwe hivyo.
ni rahisi kwa wazanzibar kujenga nyumba, kupata mashamba na kuajiriwa na kutumia vizuri raslimali za tanganyika lakini si kwa watanganyika walioko zanzibar.
wacha tuuvunje kwa kuwa tumeona busara tununue uhuru wetu kwa fedha na hasa ukichukulia wanaotuhitaji hawatuhitaji kwa sasa.
malalamiko yao ni madogo ukilinganisha na maslahi ambayo wao wanapata katika muungano , lakini ijulikane wazi kuwa hayo yote sio hitaji lao kwa sasa .wanachohitaji ni kujitawala zaidi na kuwa na mamlaka zaidi huenda wanaona wamebanwa. wapeni bana!
historia itakuwepo kwani kunauwezekano siku zijazo tukawa na nchi moja lakini kwa sasa wacha twende likizo.
Nakuunga mkono. Ni wakati wa kuamua hatima yetu sisi wenyewe. Nashangaa wanaosema ni kusaliti mawazo ya waasisi! Wana macho na masikio ya kuona na kusikia kinachofanyika Zanzibar? Je Zanzibar aliyoiacha Karume ndo hiyo hiyo?? Watanganyika tukitaka Tanganyika inakuwa kusaliti fikra za waasisi!!!
Inavyoonekana ni kwamba hujasoma rasimu ya katiba na wala hukusikuliza hotuba ya mzee Warioba wakati akikabidhi rasimu ya katiba. Yale yaliyowekwa kwenye rasimu ni maoni ya wananchi sio matakwa ya JK wala Warioba. Na hii nchi ni ya wananchi sio ya Nyerere wala Karume. Kama walioamua wakati huo kwa niaba ya wananchi, sasa hivi wananchi wameamua wenyewe kwa faida yao.
Suala la majeshi liko chini ya muungano, hivyo hakutakuwa na kugawa jeshi kati ya jwt na jwz.
Kimataifa nchi itaendelea kuitwa Tanzania kwani mambo ya nje yapo katika muungano.
Hujui Historia wenye hekima zao walisema "No research no right to speak"Wewe peek yako huwezi kuwa na akili kuzidi tume na watanzania waliotoa maoni yao. Kumbuka zipo kanuni za maendeleo zinazizingatia wakati, mazingira na changamoto za wakati huo. Enzi za Karume na Nyerere fuatilia mazingira na changamoto zilizowapelekea kuunda muungano wa chapchap.
Nadhani ulitakiwa kusema kua watanzania wamsaliti mwalim Nyerere.
wanajua dunia ya leo nchi yao ikiwa na uchumi mkubwa watakuja kama wawekezaji na kuchukua maeneo yetu kama wawekezajihebu acheni kwanza twende likizo na hiki kitu kinaitwa muungano halafu tukirudi tutatia akili.
hebu fikiria wengine walikubali kuitwa tanzania bara ila wengine hawakukubali kuitwa tanzania visiwani sasa kuna dhambi gani sisi tusirudi kwenye utanganyika wetu.
malalamiko yamekuwa mengi na kila sehemu inaona ni ya msingi ni bora iwe hivyo.
ni rahisi kwa wazanzibar kujenga nyumba, kupata mashamba na kuajiriwa na kutumia vizuri raslimali za tanganyika lakini si kwa watanganyika walioko zanzibar.
wacha tuuvunje kwa kuwa tumeona busara tununue uhuru wetu kwa fedha na hasa ukichukulia wanaotuhitaji hawatuhitaji kwa sasa.
malalamiko yao ni madogo ukilinganisha na maslahi ambayo wao wanapata katika muungano , lakini ijulikane wazi kuwa hayo yote sio hitaji lao kwa sasa .wanachohitaji ni kujitawala zaidi na kuwa na mamlaka zaidi huenda wanaona wamebanwa. wapeni bana!
historia itakuwepo kwani kunauwezekano siku zijazo tukawa na nchi moja lakini kwa sasa wacha twende likizo.
Kwahiyo kuirudisha Tanganyika ni kumsaliti Mwalimu kumbe?
Vip Uwanja wa kimataifa wa ndege Dar ulipopewa jina la Mwalimu J.K.Nyerere na baadae ukabadilishwa eti kisa wazungu wanashindwa kutamka hilo jina haikuwa usaliti huo? na je ilo jina liliathiri uwanja kwa aina yoyote ile? huo kwako si usaliti na mbona haukuwahi kulisemea ama ni interest minded?
Hayo yalikua ni maamuzi ya wananchi.
Kwahiyo kuirudisha Tanganyika ni kumsaliti Mwalimu kumbe?
Vip Uwanja wa kimataifa wa ndege Dar ulipopewa jina la Mwalimu J.K.Nyerere na baadae ukabadilishwa eti kisa wazungu wanashindwa kutamka hilo jina haikuwa usaliti huo? na je ilo jina liliathiri uwanja kwa aina yoyote ile? huo kwako si usaliti na mbona haukuwahi kulisemea ama ni interest minded?
Hiyo ni U-turn kama ilivyokuwa multipartism b4 uhuru na 1992,kila wakati una yake.