Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

Upumbavu mkubwa huu.
 
Amekaa Wizara ya Ujenzi miaka zaidi ya 10 ameshindwa Kujenga flyover eti akiwa rais ndio ajenge huu ni upuuzi na anafikiri wananchi wa Leo ni wapuuzi kama wao
 
Amekaa Wizara ya Ujenzi miaka zaidi ya 10 ameshindwa Kujenga flyover eti akiwa rais ndio ajenge huu ni upuuzi na anafikiri wananchi wa Leo ni wapuuzi kama wao

amekuwa waziri kwa miaka zaid ya 10 ikiwemo wizara ya ujenzi.
 
Kati ya hizo 32 zooote ulizotaja ipi ni mpya kutoka kwa watangulizi wake wa miaka 30 iliyopita?
 
pombe anaweza na huyu ndo wakutuvusha, good leader hakika wewe ni tinga tinga
 
Lakini jana wakati anaongelea mafisadi alipata woga sana na alisema atashughulika nao POLEPOLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…