Rais hawa ndo uliagiza wafyatue?

Rais hawa ndo uliagiza wafyatue?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,823
Hii video inamenipa mawazo mengi dhidi ya kibira la kisukuma.

Hiv kweli huyu kama anafyatua ila anavyofyatua hajui alivifyatua lini na anazidi kuruletea mapompo Hapa Tanzania? Je kizazi cha namna hii kwa Dunia tunayoelekea kinahitajika kweli?

Hapana nikiulizwa olinsuka najibu mwe mie sio nsukuma ni nsukuna.
 
Hii Video ilinifanya niamini kuwa huyu Jamaa ana Matatizo ya Akili au ili tengenezwa.Sijui kama ana jijua kuwa yeye ni Mtu...So Sad.
 
afadhari ya huyo jamaa yeye hakufoji vyeti,anasema ukweli kuwa hakujiangaisha kwenda shule
 
Ni kweli Mkuu ,ila angalau ita waongezea ari ya kuwajibika zaidi.Tatizo la hawa Watawala wanaishi ktk Ulimwengu mwingine tofauti na Raia wa kawaida ndani ya Nchi moja.
Hebu fikiraia mshahara wa mbunge ni mil 12 halafu mwalimu wa mbunge laki 3 na nusu
 
Yaani nimecheka mpaka basi.

Hivi kwanini masikini hujifariji kwa watoto!!!!!??, huyu afungwe kizazi, asije akaanza kuiomba serikali imsaidie muda si mrefu.
 
JAMANI NASHUKURU HII VIDEO LABDA ITANISAIDIA KUWAELEWESHA WATU PALE NINAPOWAAMBIA UJINGA NI MOJA YA TATIZO KUBWA SANA TANZANIA NA TATIZO HILI LIPO MAKUSUDI KWA MANUFAA YA WATU FULANI.. JAMII YA HIVI NI KUBWA SANA TANZANIA..

MAMA NDIAMBO, BABA NDIAMBO TAYARI WANA WATOTO WATANO UNAFIKIRI HAWA WATOTO WATANO ITAKUAJE..
 
Back
Top Bottom