Rais Donald Trump wa Marekani Ataka Nchi Za Kiarabu Kuanzisha 'Arab Nato'

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,373
6,084
Wakati wa ziara ya Rais Donald Trump huko Saudh Arabia alifanya mkutano na viongozi zaidi ya 20 kutoka nchi za Kiarabu katika mkutano huo Rais Trump alizitaka nchi hizo kuanzisha shirika la kujihami la nchi za Kiarabu (Arab Nato) ili kuikabili nchi ya Iran na magaidi. Rais Donald Trump alisema sasa ni wakati wa kila nchi kuangalia masuala yake ya kiusalama badala ya kutegemea taifa hilo kubwa kijeshi duniani (Marekani ).
Rais Donald Trump pia alitia saini mktaba mnono wa kuuza silaha ya mabilioni ya dola kwa Saudh Arabia utakuwa ni mktaba mkubwa wa kihistoria kuwahi kufanyika na Marekani.
 
Khaaaa hiyo arab NATO muda ukifika wanaanzana wenyewe kwanza kwa upashtuni wa yule yule aliyewashawishi waunde kinato chao
 
Back
Top Bottom