D duchi JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 1,766 Reaction score 333 May 29, 2013 #21 hao wote ni maboya tu hakuna hata mmoja hapo....wenye kufaa bado wapo ndani ccm wala hawajitangazi
assadsyria3 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 6,909 Reaction score 4,057 May 29, 2013 Thread starter #22 ccm choka mbaya
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,644 Reaction score 12,355 May 29, 2013 #23 Kwa upande wa CCM,kambi ya Sitta ni wasafi kuliko wengine wanaotaka kugombea U-rais
Z Zacharia Kifyasi Senior Member Joined Dec 23, 2012 Posts 135 Reaction score 24 May 29, 2013 #24 Habari hii iko kwenye gazeti la mtanzania la tarehe 29/0512013, na siasa za gazeti hili mimi huwa hazinishughulishi, kwa sababu inajulikana wazi gazeti linamuunga mkono Lowassa!
Habari hii iko kwenye gazeti la mtanzania la tarehe 29/0512013, na siasa za gazeti hili mimi huwa hazinishughulishi, kwa sababu inajulikana wazi gazeti linamuunga mkono Lowassa!