Panga la Yesu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 239
- 24
Tunaomba Mwongozo!
Endapo Itajulikana kuwa Rais kawadanganya Watanzania je wananchi wafanyaje?
Tulimsikia Mhe. Wassira ( Waziri mwenye Dhamana) Naamini alikuwa akizungumza kwa niaba ya raisi akisema mambo ambayo CDM wanayahamasisha ni mambo ambayo Rais hawezi kuyatekeleza, lakini ukienda kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ni Mambo hayo hayo yaliyopo, hivyo tuseme rais aliyatumia kuombea Kura tu angali anajua hayatekelezeki na ss Watanzania tukampa kura zetu tukimwamini.
Inapofika hapo sisi wananchi tufanyeje?
Nawasilisha!

Issue hapa ni kwamba aliyoyaahidi utekelezaji wake ni kwa muda wa miaka mitano sasa leo unapoona watu wanakurupuka kudai yatekelezwe ndani ya siku tisa kuna uongo gani hapo? Picha tunayojengewa ni kwamba kama angechukua mwingine, nchi hii ingegeuka ya asali na maziwa katika siku tisa? au miezi michache kama tunavyolazimisha itokee hapa sasa hivi? Hata Obama yako ambayo hadi leo hajafanikiwa kuyatekeleza licha ya ukweli kwamba uchaguzi uko mwaka ujao na huyo ni kiongozi wa taifa kubwa lenye uchumi mkubwa na vyanzo vya uhakika vya mapato.
Ifike wakati tuwe realistic kwamba yapo makosa ambayo yanastahili kusemwa na kupewa msisitizo ili viongozi wetu wayatupie macho na kuyatatua, mfano suala la kupanda holela kwa bei ya bidhaa. Hili ni kero ambayo sehemu ya utatuzi wake uko kwenye mamlaka ya viongozi wetu. Tujiulize tu hata hao wabunge huko kwenye majimbo yao wameshatekeleza ahadi gani mpaka sasa? Wakati wengi kati yao hawajatekeleza kile walichoahidi, mimi si mmoja wa wale walio tayari kuwaadhibu au kuwahukumu kwamba hawafanyi lolote kwani nafahamu stock taking hufanywa mwisho, siyo mwanzo. Hata Mnyika wetu ambaye tulimchagua kwa kura nyingi na matumaini kibao, bado hajatekeleza yale aliyoahidi au yale tuliyomkabidhi lakini sina shaka kwamba sasa ni mapema kusema kwamba ameshindwa. Tutoe constructive criticism siyo kutoa hukumu na adhabu kali kiasi hiki!

Mkuu Mbopo,
Umekosea njia. Sidhani kama rais Kikwete aliahidi kwenye kuomba kura kuwa ataua watu Arusha, ata fanya uchaguzi wa hila Arusha, Atalipa Dowans fidia n.k
Madai ya Chadema yanatokana na matendo yanayofanywa na CCM kwa sasa. Ebu ona walisema lazima DOWANS ilipwe lakini watu wanamaisha magumu sana ... hapo ndo hoja ya siku 9 inapoingia. Hoja HII inaingia kunusuru ugumu wa maisha walionayo watanzania lakini kama wewe unaona ni sawa DOWANS walipwe na maisha yaendelee kuwa magumu kisha tumpe muda Rais wa kutekeleza ahadi zake .... hapo nasema no!!! Yeye atekeleze ahadi zake lakini asitusababishie ugumu wa maisha bila sababu zozote. Majibu yanayotolewa leo na Chiligati kuhusu malipo ya DOWANS ni tofauti kabisa na taarifa ya aliyoitoa baada ya kikao cha ikulu na hakuna popote walipoisha kiri kuwa taarifa hii inafuta taarifa zingine zote za nyuma. Hakuna taarifa kama hiyo - wana miendelezo tu ya kutoa taarifa!!!