Rais Aangua Kicheko

JAKAYA sasa magufuli na ujanja wako wote wa kutumbua majipu LUGUMI imekushinda kutumbua? POMBE Hahahahahahaha yaani JK bwana unataka nitumbue nikuabishe
 
JPM ana msize up mkweree kwa kujifanya amemchekesha kumbe anamlia timing ya kutumbua majipu ya vikaragosi wake!!!!
 
JK: Ukikalia majipu tu huwezi kufanya mambo mengine sababu ni mengi sana na mengine mapya yanatokeza kila siku na wewe una mika 10 tu hapa ikulu utatoka kama nilivyotoka

JPM : Hahahhahahhhhha
 
Sijui ni kwanini JPM kwa JK ni full kicheko ..... huwa naona mara nyingi.
 
Kwani panahitajika ufafanuzi mtu akicheka? Yes nimetumia MTU na sio Rais.(nimeeleweka)
 
Hapo anamwambia, "Hivi nimgekuwa kama majirani?" usingekuwa hapa ulipo leo [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…