Fidel Odinga Mtoto Mkubwa wa kiume wa Mwanasiasa maarufu nchini kenya Raila Odinga amekutwa amefariki ndani ya chumba chake alimokuwa amelala leo alfajiri, Police nchini kenya muda huu wanaendelea na uchunguzi mkali kubaini chanzo kama kinahusiana na mambo ya siasa, Hivi karibuni Raila Odinga amekuwa akiibana na kuishurtumu Serikali ya Kenyata kwa kushindwa kuwalinda wakenya hasa kutokana na mauaji ya Al shabab, Pia Wapinzani kupinga muswada ambao tayari ni sheria ya Ugaidi nchini kenya ambao Raila anaona hauwalindi wakenya. SOURCE CITIZEN TV