Raila Atamaliza Ufisadi Kenya Kabisa

Kenyan-Tanzanian

JF-Expert Member
Nov 7, 2006
302
2
Kwa mujibu wa The Standard Online | Nov 05 2007

Raila best for war on graft, says poll

By Lucianne Limo

Kenyans believe ODM presidential candidate, Mr Raila Odinga, is best placed to fight corruption.

A survey released on Tuesday indicates that 50 per cent of those polled believe Raila would adequately spearhead the fight against corruption.

Thirty-three per cent said President Kibaki was committed to fight the vice, while 17 per cent felt that ODM-Kenya presidential candidate, Mr Kalonzo Musyoka, was up to the task.

Age played a crucial role in determining the presidential candidate best placed to fight corruption.

Most Kenyans between 18 and 54 years felt that Raila was most committed, while those 55 years and above had confidence in Kibaki.

Raila got most support from Western, Coast, Nyanza, Nairobi, Rift Valley, Eastern and North Eastern provinces, while Kibaki received support from Central Province.

Asked how long they would give the next Government to deal with corruption, the 2,400 respondents said the ‘honeymoon’ would be short.

The majority (45 per cent) gave the new Government up to six months to implement tough measures against past corruption.

According to the survey commissioned by an anti-corruption agency — the Africa Centre for Open Governance — there is perception that a clique of individuals is untouchable.

A majority (77 per cent) believes that there are sacred cows, citing the practice of the accused or suspects to seeking protection from their communities in the guise that their "tribes were being finished".

Nearly all those polled — 93 per cent — would not vote for a candidate perceived to be corrupt.

Only a paltry seven per cent said they would.

Interestingly, while 51 per cent said they would not accept a gift or bribe from a candidate, an almost equal number — 49 per cent — admitted they would succumb to the lure.

However, 80 per cent said the bribe would not influence the way they vote, while 20 per cent said it would determine whom they vote for.

Home - Privacy policy - Contact us
© 2007 Standard Group
_____________________
 
Hivi mshikaji wake alikuwa wapi enzi hizo? Maanake huu uzi na hizi taarifa ni za miaka kumi na moja iliyopita.
Kabla Magufuli hajawa Raisi 2015 alikua kwenye baraza la mawaziri kwa miaka 20, uko ndiko alipopata nick name ya bulldozer. Kama ulihisi alikua ni mtu mwepesi kipindi hiko umekosea msee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Nani amesema lolote kuhusu wepesi? Kwahivyo 'rais' Raila angekuwa anampigia simu 'mshikaji' wake waziri Magufuli ili apewe ushauri? Nice fiction.
 
Dah! Nani amesema lolote kuhusu wepesi? Kwahivyo 'rais' Raila angekuwa anampigia simu 'mshikaji' wake waziri Magufuli ili apewe ushauri? Nice fiction.
Sasa cha ajabu nini!! kwa hiyo wewe unahisi mtu akishakua raisi ghafla anakua anaakili kuliko watu wote wasio maraisi!! Mbona raisi anakua na washauri ambao siyo maraisi. Raila alikubali uwezo wa Magufuli toka akiwa waziri ambae hana influence sana kwenye chama chake, wakati Odinga akiwa na ushawishi mkubwa sana Kenya. Alitambua potential ya Magu hadi akamwita amsaidie kwenye campaign zake. Mimi nina watu wamenizidi kila kitu ila wananitafuta kuomba ushauri. Madaraka hayamwongezei mtu maharifa, ata hapo Kenya kuna vichwa Uhuru ata robo hawafikii ila mpaka kufa kwao hawata kuja kua maraisi.

Jombaa, hapo bolded huo ushauri unamfaa sana Jiwe. FYI. Raila aliapishwa kama rais zamani sana. Labda hata hatua yake hiyo ilikuwa ni ushauri 'mzuri sana' kutoka kwa swahiba yake Bin Chato.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom