Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,029
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.

Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!

IMG_2894.jpeg

IMG_2894.jpeg

IMG_2892.jpeg
IMG_2892.jpeg
IMG_2892.jpeg
 
Attachments

  • IMG_2893.jpeg
    IMG_2893.jpeg
    60.2 KB · Views: 12
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.

Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!!

Kumekucha, kumekucha.
 
Ila Wayahudi wastaarabu sana. Wanajali sana watu. Ingekuwa sisi tungejitoa tu mhanga hapo hapo hatujali wala nini.
 
Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.

Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
 
Ila Wayahudi wastaarabu sana. Wanajali sana watu. Ingekuwa sisi tungejitoa tu mhanga hapo hapo hatujali wala nini.
Hujui wameuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu ishirini wakiwa kwenye mahema ?
Huku hawaruhusu maji, dawa na vyakula kuingia Gaza.
 
Pole zao haya yote yasiwangekuta kama hawangechinja watoto wa Wayahudi, nimewaambia mara nyingi kabla ujio wa dini yenu, hapo awali kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
 
Unawafundisha ujingaujinga.Watakoyongwa hadi tuwaombee maji ya kunywa na pooh!
Kumbuka siyo wote HAMAS na sio wote waguasi wa HAMAS. Kuwaondoa wote wanakosewa haki yao ya kuishi bila huruma.
Hamas wapambane na idf na usa, wengine waachwe.
 
🤔

Doh!

Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu

Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe

Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi

Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi

Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote

Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa 😭 kama binadamu

Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi

Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!

Mungu Irehemu Gaza
 
Wakiachwa ndipo Hamas wanapata kwa kujificha/human shields.Huo mtego ni mzuri.Ambaye hataki dhahma ataondoka kwa amani.Vichwa ngumu watajulikana.
 
Bwa Mungu muumbaji wa wote wenye uhai, Samehe Gaza, Zungumza na Netanyahu, zungumza pia na kundi hilo la kigaidi ili raia wema waishi kwa amani

Yatosha Baba!
 
Pole zao haya yote yasiwangekuta kama hawangechinja watoto wa Wayahudi, nimewaambia mara nyingi kabla ujio wa dini yenu, hapo awali kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
Ni kweli mfalme moja wa uajemi alitaka kuangamiza wayahudi

Ester akajipenyeza akaolewa na mfalme wa uajemi/iran

Ester akatumia ushawishi wake mfalme akafuta mpango wa kuangamiza wayahudi

Na mjomba ake ester akapewa cheo cha uwaziri mkuu

Sometimes K ikitumika vizuri inalipa 😋
 
🤔

Doh!

Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu

Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe

Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi

Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi

Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote

Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa 😭 kama binadamu

Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi

Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!

Mungu Irehemu Gaza
Daaah! Umenikumbusha October 7 hamas walivyowauwa watu zaidi ya mia tatu kwenye tamasha la mziki halafu wakaanza kupiga selfie zile maiti na kuburuza barabarani mtaani.
 
Back
Top Bottom