..mimi niko curious na Alphayo Kidata.
..alikuwa balozi Canada halafu akarudishwa nchini na kuvuliwa hadhi ya ubalozi.
..baada ya hapo alipewa demotion na kupelekwa kutumikia mikoani.
..sasa hivi ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa TRA.
..najiuliza alipokuwa balozi Canada alifanya kosa gani?