Raia huyu anamwambia nini askari????

Hicho kidole hicho mmmmhh, nadhani atakuwa kaombwa rushwa ili aachiwe basi jamaa akwa anamwambie.....aaa Sheihk wangu Kikapu cha Sadaka hakirudishi chenji yakhe
 
Nachoma tena kanisa yaani ulinichukua picha?
 
Maisha magumu haya na ukosefu wa ajira ndo wakati flani hufanya watu wafanye maamuzi ya kujizira
 
Ukiniachia mabuti utakayopata mbavu zote chali
 
anamwambia kwa nguvu za ALLAH nitatoka tu huko mnapo nipeleka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…