baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Mh.kwa upendo na heshima nakusalimia kikamanda zaidi,kwa kua police wa Tanzania wanazijua haki za raia ila hawapendi kuzifuata na wanafanya kwa matakwa ya watawala,na wakijua wananchi wanapendezwa na ukabaji huo wa demokrasia.kuna kauli tumezisikia kwa nyakat tofauti tofaut kutoka kwa maafisa wa police wakisubutu kukiri kua atakae andamanaaaaa! wameamuru zana za kutolea roho kuzipitisha kila kona ya nchi hii ili kuwatishia wa Tanzania na kuwaaminisha kua hizo zana za kuulia sio za wana nchi niza police.
Watawala wametuweka mateka wametunyang'anya nchi yetu,wana uhakika wa kututawaka maisha yetu ya hapa dunian,sasa mh.roho wa mungu amenituma kwako kua tusishindane na hawa walo zingwa na shetwan maana wao hawaon,tuache mwenyezi ayafanye yake maana tulipotoka nimbali sanaa na tuendako ni kesho tu,kwa kua ww ndio kiongozi wa msafara ktk kutusababishia uhuru wa kweli plz sitisha maandamano nchi nzima,maana vijana wako kila kona ya nchi hii wakijaribu kufikiri mbadala wa maandamano,vijana wana hasira sana na wanavyo fanyiwa ndani ya nchi yao wananchi wamechoshwa sanaaa.
Mh naomba warudishe kwenye mud ya kawaida kupitia media,nchi hii imeshaiva tusitumie nguvu kubwa mwenyezi kaisha ikabidhi nchi hii kwa CHADEMA watawala hawana ubavu tena na kila wakifanyacho ni point kwetu,na alipo mwenyezi mungu ushindi ni lazima,binafsi nakupongeza kwa ujasiri wako mkubwa tukonyuma yako na siku ccm wakikusifia jitafakari g9t .